Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siyo kweli. Kwenye mikutano ya namna hiyo ni nchi ndo inakaribishwa siyo kiongozi kwa cheo au jina kwa hiyo Meza Kuu mbele ya kila kiti kunakuwa na jina la nchi iliyokaribishwa na kukubali kuhudhuria. Nyuma yake kunakuwa na viti kwa ajili ya wasaidizi waliofuatana nae ndo maana ni muhimu kuwakilishwa na mtu mwenye hadhi ya mkutano husika. Marais wengi hasa wa Afrika hawajulikani kwa majina wala sura lakini nchi zinajulikana.Uwanja wa Diplomasia tumefuatilia baadhi ya mijadala mitandaoni na kuona watu wakiuliza kwa nini Waziri Mkuu alikaa nyuma ikiwa yeye alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Mkutano wa Russia-Africa pale Sochi?
*JIBU NI HILI.*
Kwa mujibu wa mpangilio wa kikanuni yaani itifaki (Protocol) hasa kwa kuzingatia Mkutano Mkubwa kama huo ambao Marais wengi walihudhuria sambamba na Makamu wa Rais mbalimbali na Mawaziri Wakuu marais hupangwa pamoja kwa kuzingatia nani wa kwanza kuingia madarakani kabla ya wenzake wote, hufuatia yule aliyefuata mpaka wa mwisho ambaye ameingia hivi karibuni madarakani (Hii huitwa order of precedence).
Kwa lugha nyingine, mpangilio wa order of precedence huzingatia viongozi wa kada moja (Mfano Marais peke yao, Makamu wa Rais peke yao, Mawaziri Wakuu peke yao n.k) kwa kuangalia ni mwaka gani kwa mara ya kwanza kiongozi aliingia madarakani na tangu wakati huo mpaka muda wa tukio bado yupo madarakani.
Zingatio ni kwamba huyo kiongozi aliyeingia madarakani awe hajaondoka madarakani toka wakati alipoingia mpaka muda huo wa tukio.
Order of precedence huzingatia pia:
(1) Muda ambao kiongozi alikula kiapo (Nani wa kwanza kula kiapo)
(2) Historia ya kuwepo madarakani kwa mfano kwa hapa Afrika Mashariki (EAC) Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda yupo madarakani tangu mwaka 1986.
Hivyo mpangilio unampa yeye nafasi ya kwanza isipokuwa kama Mwenyekiti wa Jumuiya wakati wa Mkutano wa EAC si yeye.
(3) Nani wa kwanza kuwasilisha hati kwa Rais (Hii ni kwa mabalozi).
Wanaofuata kupangwa ni Makamu wa Rais wa nchi mbalimbali ambao nao hufuata utaratibu huo wa nani wa kwanza kuingia madarakani mpaka yule aliyeingia madarakani hivi karibuni.
Baada ya hapo hufuata Mawaziri Wakuu nao hupangwa kwa utaratibu huo huo.
Hapo ndipo unapoona Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akikaa pale alipopangiwa.
Mpangalio mchanganyiko kama wanavyoonekana kwenye picha Marais, Makamu wa Rais, Mawaziri Wakuu kwa ujumla wake huitwa Order of Seniority.
Order of Seniority huzingatia ukubwa wa viongozi kimamlaka (hierarchy) kwa viongozi wa kada mbalimbali wanapowekwa pamoja.
Mpangilio huu huwa tunauona sana kwenye matukio ya Serikali Tanzania mfano Sherehe za Uhuru wa Tanzania bara, Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Muungano ambapo huwa kuna mchanganyiko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Spika wa Bunge la Jumhuri ya Muungano wa Tanzania na Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa ufupi, Order of Seniority huzingatia:
(1) Umri wa kuwepo madarakani
(2) Muundo wa kazi au utumishi
(3) Mchanganyiko wa uwepo wa viongozi wa kada mbalimbali mfano, Wafalme na Malkia, Marais, Wakuu wa Serikali (Kwa nchi ambazo ni za monarchy kama Ethiopia na Uingereza)
Ni imani yetu tumeelewana.
Abbas Mwalimu (Facebook & Instagram)
Kwa hiyo nkurunziza ataanza trump atasubiri!
...na hata angebaki hakuna faida vilevile.Hao mabeberu hawana nia njema na Africa
Hata Majaliwa asingeenda Hakuna faida
Kuna kitu hakijakaa sawa. Inamaana ikitokea saa 1 kabla ya mkutano rais akapata dharula na kulazimika kurudi nchini kwake huku akiwakilishwa na Waziri Mkuu pale pale na seat yake inabadilishwa?Uwanja wa Diplomasia tumefuatilia baadhi ya mijadala mitandaoni na kuona watu wakiuliza kwa nini Waziri Mkuu alikaa nyuma ikiwa yeye alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Mkutano wa Russia-Africa pale Sochi?
*JIBU NI HILI.*
Kwa mujibu wa mpangilio wa kikanuni yaani itifaki (Protocol) hasa kwa kuzingatia Mkutano Mkubwa kama huo ambao Marais wengi walihudhuria sambamba na Makamu wa Rais mbalimbali na Mawaziri Wakuu marais hupangwa pamoja kwa kuzingatia nani wa kwanza kuingia madarakani kabla ya wenzake wote, hufuatia yule aliyefuata mpaka wa mwisho ambaye ameingia hivi karibuni madarakani (Hii huitwa order of precedence).
Kwa lugha nyingine, mpangilio wa order of precedence huzingatia viongozi wa kada moja (Mfano Marais peke yao, Makamu wa Rais peke yao, Mawaziri Wakuu peke yao n.k) kwa kuangalia ni mwaka gani kwa mara ya kwanza kiongozi aliingia madarakani na tangu wakati huo mpaka muda wa tukio bado yupo madarakani.
Zingatio ni kwamba huyo kiongozi aliyeingia madarakani awe hajaondoka madarakani toka wakati alipoingia mpaka muda huo wa tukio.
Order of precedence huzingatia pia:
(1) Muda ambao kiongozi alikula kiapo (Nani wa kwanza kula kiapo)
(2) Historia ya kuwepo madarakani kwa mfano kwa hapa Afrika Mashariki (EAC) Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda yupo madarakani tangu mwaka 1986.
Hivyo mpangilio unampa yeye nafasi ya kwanza isipokuwa kama Mwenyekiti wa Jumuiya wakati wa Mkutano wa EAC si yeye.
(3) Nani wa kwanza kuwasilisha hati kwa Rais (Hii ni kwa mabalozi).
Wanaofuata kupangwa ni Makamu wa Rais wa nchi mbalimbali ambao nao hufuata utaratibu huo wa nani wa kwanza kuingia madarakani mpaka yule aliyeingia madarakani hivi karibuni.
Baada ya hapo hufuata Mawaziri Wakuu nao hupangwa kwa utaratibu huo huo.
Hapo ndipo unapoona Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akikaa pale alipopangiwa.
Mpangalio mchanganyiko kama wanavyoonekana kwenye picha Marais, Makamu wa Rais, Mawaziri Wakuu kwa ujumla wake huitwa Order of Seniority.
Order of Seniority huzingatia ukubwa wa viongozi kimamlaka (hierarchy) kwa viongozi wa kada mbalimbali wanapowekwa pamoja.
Mpangilio huu huwa tunauona sana kwenye matukio ya Serikali Tanzania mfano Sherehe za Uhuru wa Tanzania bara, Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Muungano ambapo huwa kuna mchanganyiko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Spika wa Bunge la Jumhuri ya Muungano wa Tanzania na Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa ufupi, Order of Seniority huzingatia:
(1) Umri wa kuwepo madarakani
(2) Muundo wa kazi au utumishi
(3) Mchanganyiko wa uwepo wa viongozi wa kada mbalimbali mfano, Wafalme na Malkia, Marais, Wakuu wa Serikali (Kwa nchi ambazo ni za monarchy kama Ethiopia na Uingereza)
Ni imani yetu tumeelewana.
Abbas Mwalimu (Facebook & Instagram)
Mkuu naomba kujuzwa kiitifaki kati ya Rais na mfalme nani anatakiwa akae mbele,kwa mfano umemualika King Mswathi III wa eSwathini na Rais Yoweri Mu7 wa Uganda ?
Uwanja wa Diplomasia tumefuatilia baadhi ya mijadala mitandaoni na kuona watu wakiuliza kwa nini Waziri Mkuu alikaa nyuma ikiwa yeye alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Mkutano wa Russia-Africa pale Sochi?
*JIBU NI HILI.*
Kwa mujibu wa mpangilio wa kikanuni yaani itifaki (Protocol) hasa kwa kuzingatia Mkutano Mkubwa kama huo ambao Marais wengi walihudhuria sambamba na Makamu wa Rais mbalimbali na Mawaziri Wakuu marais hupangwa pamoja kwa kuzingatia nani wa kwanza kuingia madarakani kabla ya wenzake wote, hufuatia yule aliyefuata mpaka wa mwisho ambaye ameingia hivi karibuni madarakani (Hii huitwa order of precedence).
Kwa lugha nyingine, mpangilio wa order of precedence huzingatia viongozi wa kada moja (Mfano Marais peke yao, Makamu wa Rais peke yao, Mawaziri Wakuu peke yao n.k) kwa kuangalia ni mwaka gani kwa mara ya kwanza kiongozi aliingia madarakani na tangu wakati huo mpaka muda wa tukio bado yupo madarakani.
Zingatio ni kwamba huyo kiongozi aliyeingia madarakani awe hajaondoka madarakani toka wakati alipoingia mpaka muda huo wa tukio.
Order of precedence huzingatia pia:
(1) Muda ambao kiongozi alikula kiapo (Nani wa kwanza kula kiapo)
(2) Historia ya kuwepo madarakani kwa mfano kwa hapa Afrika Mashariki (EAC) Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda yupo madarakani tangu mwaka 1986.
Hivyo mpangilio unampa yeye nafasi ya kwanza isipokuwa kama Mwenyekiti wa Jumuiya wakati wa Mkutano wa EAC si yeye.
(3) Nani wa kwanza kuwasilisha hati kwa Rais (Hii ni kwa mabalozi).
Wanaofuata kupangwa ni Makamu wa Rais wa nchi mbalimbali ambao nao hufuata utaratibu huo wa nani wa kwanza kuingia madarakani mpaka yule aliyeingia madarakani hivi karibuni.
Baada ya hapo hufuata Mawaziri Wakuu nao hupangwa kwa utaratibu huo huo.
Hapo ndipo unapoona Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa akikaa pale alipopangiwa.
Mpangalio mchanganyiko kama wanavyoonekana kwenye picha Marais, Makamu wa Rais, Mawaziri Wakuu kwa ujumla wake huitwa Order of Seniority.
Order of Seniority huzingatia ukubwa wa viongozi kimamlaka (hierarchy) kwa viongozi wa kada mbalimbali wanapowekwa pamoja.
Mpangilio huu huwa tunauona sana kwenye matukio ya Serikali Tanzania mfano Sherehe za Uhuru wa Tanzania bara, Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar na Muungano ambapo huwa kuna mchanganyiko wa Rais wa Jamhuri ya Muungano waTanzania, Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Spika wa Bunge la Jumhuri ya Muungano wa Tanzania na Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Kwa ufupi, Order of Seniority huzingatia:
(1) Umri wa kuwepo madarakani
(2) Muundo wa kazi au utumishi
(3) Mchanganyiko wa uwepo wa viongozi wa kada mbalimbali mfano, Wafalme na Malkia, Marais, Wakuu wa Serikali (Kwa nchi ambazo ni za monarchy kama Ethiopia na Uingereza)
Ni imani yetu tumeelewana.
Abbas Mwalimu (Facebook & Instagram)
Nadhani sasa CHADEMA wamekuelewa!
raisi wa usa na mataifa yote yaliyopo kwene UN security council huwa yanakuwa na veto power na mataifa yao huwa ni senior kwa mengine hivo maraisi wao kiprotokali uwa ni senioursHiyo order hufuatwa hata kama Kuna Marais wa dunia kama POTUS , Uchina , Russia ama PM wa UK? Yaani Mu7 ama KG akae mbele ya Trump ?
Haahaahaaaaa, kwamba sasa CCM inaendesha nchi kwa tetesi?1 Ama kweli tumeshikwa pabaya.Nadhani sasa CHADEMA wamekuelewa!
hahha zile nchi ndio huandikwa ila mpangilio wa kukaa sheria ya protokali na itifaki huchukua nafasi, wanawakilisha nchi sawa ila namna yakukaa au misafara kuingia na kutoka wanapokuwa viongozi mkubwa huwa uwaanza.....ndio protokali sio swala la nchiSiyo kweli. Kwenye mikutano ya namna hiyo ni nchi ndo inakaribishwa siyo kiongozi kwa cheo au jina kwa hiyo Meza Kuu mbele ya kila kiti kunakuwa na jina la nchi iliyokaribishwa na kukubali kuhudhuria. Nyuma yake kunakuwa na viti kwa ajili ya wasaidizi waliofuatana nae ndo maana ni muhimu kuwakilishwa na mtu mwenye hadhi ya mkutano husika. Marais wengi hasa wa Afrika hawajulikani kwa majina wala sura lakini nchi zinajulikana.
Kinachoangaliwa hapo ni kama mtu ni head of state au head of government, halafu mambo ya seniority.Mkuu naomba kujuzwa kiitifaki kati ya Rais na mfalme nani anatakiwa akae mbele,kwa mfano umemualika King Mswathi III wa eSwathini na Rais Yoweri Mu7 wa Uganda ?
Nilitegemea kusikia habari ya nini aliteta na "mabeberu uchwara" chenye manufaa kwa wanyonge wa Tz kumbe ni upuuzi tu wa nani alikaa wapi na upupu mwingine! Yana tija gani kwa wanyonge?Uwanja wa Diplomasia tumefuatilia baadhi ya mijadala mitandaoni na kuona watu wakiuliza kwa nini Waziri Mkuu alikaa nyuma ikiwa yeye alimuwakilisha Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Joseph Magufuli katika Mkutano wa Russia-Africa pale Sochi?