Pre GE2025 Sababu za msingi na makini kwa nini Chadema tunamuhitaji zaidi Mbowe

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

Dr Ndlozi

Senior Member
Joined
Sep 17, 2024
Posts
110
Reaction score
140
Habari zenu waungwana, natumaini mko poa na mnaendelea vizuri sana na majukumu na mapumziko ya mwisho wa mwaka. Kwa kuwa leo ni siku ya mapumziko nimaemua kuitumia kuwaandikia na kuwahimiza wajumbe wa kamati kuu ya chadema wasifanye makosa.

Kwanza kabisa mimi Mbowe na Lissu wote ninawaheshimu sana. Wote wamekibeba chama chetu kwa nguvu nyingi, kwa hali na mali, jasho na hata damu. Kwa hiyo ifahamike kwamba hawa wote tunawahitaji lakini Mbowe tunamuhitaji kama mwenyekiti kwa sababu zifuatazo;

1) Mbowe ana pesa nyingi. Jamani huyu bosi wetu ana pesa balaaa. Imagine yule katili uchwara wa chato alijaribu kumuhonga Mbowe mpaka uwaziri mkuu, na bado bozi wetu akakataa. Kwanza pesa anayolipwa waziri mkuu, Mbowe anatumia masaa sita tu kuingiza pesa yote ya mwezi ya waziri.

2)Freeman Mbowe ni tajiri sana. Aisee huyu baba ana utajiri wa maana mno. Na kupitia utajiri wake ndio maana chama hakijawahi kushindwa hata kufanya kampeni, huyu baba kwa pesa zake alikuwa ana kodi chopa ya kufanya ziara, kampeni na oparesheni za chama. Gharama ya kukodi chopa moja kwa siku ni milioni 400, na chopa ilikuwa inatumia mpaka miezi mitatu uko, itoshe kusema utajiri wa mbowe bado chama tunauhitaji mno yani mno tena saana.

3)Freeman Aikael Mbowe ana hela mpaka nje ya nchi. Jamani huyu baba ana ma real estate project kusini mwa Afrika huko, yani anaweza akasema wajumbe wote wa kamati kuu weekend hii tunaenda Sauzi kufanya kikao cha chama na wote akawalipia gharama zote na bado asifilisike. Anaweza kuwalisha wananchi wa Hai kila kaya milo mitatu mpaka mwaka mzima, huyu baba hana roho ya choyo.

4) Mwenyekiti Mbowe amebarikiwa sana mali. Sifa ya kwanza ya kiongozi mkubwa lazima uwe tajiri, hata marekani ukitaka kugombea uraisi, sawa watakuchangia pesa za kampeni lakini kuna level ya utajiri ambayo lazima uwe nayo na kama wewe ni masikini hawakuruhusu hata kugombea.
Mtu tajiri kwanza hanunuliki na pia hawezi kuwa fisadi maana tayari ana mautajiri ya kutosha.

Baada ya kusema sababu hizi za msingi kabisa niwasihi wajumbe wamchague Mbowe. Naendelea kusisitiza kuwa Lissu ni kiongozi mzuri pia na wale wapuuzi wanao mtukana kamaNtobi na Yericko mizimu hawa wanatakiwa waonywe hadharani maana hawakitakii mema chama chetu.

Niwatakie siku njema.
No retreat No surrender.
No gain, no Pain.
No reform No election.
 
Wewe ni mzushi tu.
Hauna hoja.
Mod wafute tu huu uzi.
 
Huu ni wakati wa TAL
20241218_051429.jpg
 
Back
Top Bottom