Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kikubwa kinachowapelekea kumpiga mwenza wake ni wivu na sifa za kijinga ndio zinapelekea huko..
I know it is; na nafikiri ni muhimu tudadavue vyema ili tupunguze hili janga (if at all tunaona ni janga).
Pls dadavua kidogo!
Kwa wivu siwezi kumchapa kwani siyo dawa ya kutibu tatizo. Ila akiniletea wenge na dharau Namtandika mpaka vumbi inatimka!
unakuta mwanamke ambae ni msomi
na anajifanya mbeijing.anaona its okaay mtoto wake wa kiume kumpiga mkewe
but sio yeye kupigwa
Hakuna sababu ya kumpiga mkeo. Kama watu wazima mnaona kuna kosa ni vizuri kujadili kuliko kuanza kurushiana ngumi.
Mi naona kumpiga mkeo ukihisi ndio namna nzuri ya kumrekebisha unazidi kujenga matatizo.
Naomba mungu nisipate mume wa hivyo maana sitovumilia hata kofi moja.
Akikupiga niambie mimi naita FFU kabisa inakuja kumchukua lolHakuna sababu ya kumpiga mkeo. Kama watu wazima mnaona kuna kosa ni vizuri kujadili kuliko kuanza kurushiana ngumi.
Mi naona kumpiga mkeo ukihisi ndio namna nzuri ya kumrekebisha unazidi kujenga matatizo.
Naomba mungu nisipate mume wa hivyo maana sitovumilia hata kofi moja.
Thanks Kaunga kama tukijenga familia bora, tukiheshimiana na kuthaminiana pia kumshirikisha Mungu kwenye kila jambo binafsi naamini tutajenga familia bora sana pamoja na magumu ambayo tutakutana nayoThank you The Finest; Keep it up na endelea kuwaelimisha vijana wenzako. Ukiwaelimisha hata wawili tu; that is a big achievement; though kwa upande wetu pia tuna kazi sana ya kuwacouncil watu kama Angela ambao wameathirika na hawajaweza kurecover!
Ubarikiwe!
The Boss observation yako nakubaliana nayo kabisa, malezi in one way ir the other pia yanachangianimesema hapo juu its complicated
the finest msingi wake mkubwa ni baba yake
sasa wale ambao wamekua wakiona baba anampiga mama utawalaumu??????
hiki kitu kiko deep mno.....ingawa tunatakiwa kukipiga vita saana
but ni vizuri tukapunguza lawama tukaanza kuangalia chanzo.ambacho most of time nimalezi.....
sio tu kwa wavulana,hata kwa wasichana....binti akiona its okay
mama yake kupigwa,anakuwa anaamini kuwa mwanaume akikupiga its okaay
hakuna uhalali wa kumpiga mke, ni ujinga na ubabe wa kishamba wa baadhi ya wanaume (ambao mara nyingine wanawake wengine wanauendekeza na kulea maradhi)
Mungu atakusaidia utampata mume kama The Finest; ila nawe usimtie pressure mdogo wangu TF! LOL
U right Hussy hata mimi so far sijaona sababu yoyote imlazimishayo mume kumpiga mke, zaidi ya insecurity ya wanaume! Si unajua adhabu zinazotukomeshaga wanawake ambazo wanaume wenye busara huitumia eeh....... That dark silence... Umekosa na unajua mumeo amegundua then hasemi chochote! Ge'ez that hurts kuliko anything! It is shame stupid psychopath r not smart enough to use that; they end up being physical tu!
kuna rafiki yangu akimkosea tu mchumba wake anakula kichapo.
Sipati picha akishaolewa itakuwaje.
Sometimes nahisi sisi wanawake tunawaendekeza hawa watu. Kuna wanawake wamekuwa wanyenyekevu sana.
Akikupiga niambie mimi naita FFU kabisa inakuja kumchukua lol
Kaunga sijui huyu Hussy kasikia, weee Husninyo umesikia usinitie presha lol!!!Mungu atakusaidia utampata mume kama The Finest; ila nawe usimtie pressure mdogo wangu TF! LOL