The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Na huyo mwanamke hawezi kuanza kukuletea dharau mbele za watu just from no where lazima kuna kitu jichunguzeMimi naamini pale mwanamke anapoleta dharau za kujirudia mbele za watu anastahili kibondo mnapokuwa faragha!!
sio kuwaendekeza
kuna kitu kinaitwa sub conscious..
its deep..........
Kaunga sijui huyu Hussy kasikia, weee Husninyo umesikia usinitie presha lol!!!
Na wewe na hizo deep zako!
Mwanamke wa hivyo hajajitambua na kikubwa ni kuamini kuwa mwanaume atabadilika baadaye!
Mimi naamini pale mwanamke anapoleta dharau za kujirudia mbele za watu anastahili kibondo mnapokuwa faragha!!
Enyi waume wapendeni wake zenu kama KRISTO anavyolipenda kanisa. Mke ni ubavu wako, ni nyama katika nyama yako. Kwanini umpige? Kama amekukosea mwonye kwa upendo, haifai kumpiga hata kidogo. Mbarikiwe nyote.
nilifikiri utaniuliza sub conscious ni nini?
kama mwenzio husny hapo..
jiulize kwa mfano.inatokea siku moja una mawazo saana
but unaweza kufika nyumbani huku hukumbuki ulipitaje njiani,
ulivuka je barabara?
hiyo inaitwa sub concious mind....kama vile ukiona nyoka tu unakimbia
au kupiga kelele automatic hivi....so mwanamke ambae toka utotoni
anaona mwanamke akipigwa ,automatic kichwani kwake anajenga acceptability ya kipigo
bila kujijua
Pressure atakayokupa ni ya kunako Sita kwa Sita tu, hivyo usihofu! Hussy baby umesikia eeh; mpagawishe mpaka aloose mapigo ya moyo! LOL
nimesema hapo juu its complicated
the finest msingi wake mkubwa ni baba yake
sasa wale ambao wamekua wakiona baba anampiga mama utawalaumu??????
hiki kitu kiko deep mno.....ingawa tunatakiwa kukipiga vita saana
but ni vizuri tukapunguza lawama tukaanza kuangalia chanzo.ambacho most of time nimalezi.....
sio tu kwa wavulana,hata kwa wasichana....binti akiona its okay
mama yake kupigwa,anakuwa anaamini kuwa mwanaume akikupiga its okaay
personally siaccept vipigo labda kwasababu sikuwahi kumwona mom akipigwa au mtu yoyote katika familia ila katika maisha yangu ya ukubwa nimeshashuhudia vipigo vingi sana. Je hiyo sub concious naweza ipata ukubwani au lazima utoke nayo utotoni?
The Boss hujaona mwanamke aliyepigwa wewe; usifikirie zile pat unazomgusa mwenzi wako mkiwa faragha! I tell u hakuna cha sub- conscious wala nini pale; kwanza maumivu hayatakuruhusu kusema ni kawaida tu! Wengi wanavumila kwa sababu zifuatazo-:
1: kuwa na imani kuwa siku moja mume atabadilika
2: watoto watateseka nikiondoka
3: hajui ataanzaje maisha/ haamini kama anaweza kuishi peke yake
4: ndoa ya kanisani (mpaka kifo kitutenganishe)
5: mama/ dada wanavumilia!
Sasa root cause ya yote hayo juu ni kutojiyambua na kujiamini! Kwa mwanamke anayejitambua despite vitu vyote hapo juu bado anaweza kutoka katika that kind of relationship!
wapo wanawake wanapigwa hivyo unavyosema....
halafu wanaachwa,wanalilia kurudiana
wanarudiana tena.....na vipigo zaidi
na unakuta mwanamke ndo ana kazi nzuri na pesa zaidi.....
usicheze na saikolojia wewe
Aisee they must be sick in the head!
Mimi bado nawaona hawajajitambua; hawajiamini na hawajithamini pia! Kuna mtu mmoja alisema usipojipenda mwenyewe kwanza then huwezi kupenda mwingine! So to mwanamke wa hivyo anahitaji counciling ya hali ya juu. Lkn let's go back to the man; kwani anachieve nini kwa kumpiga mkewe hivyo?