tpaul unaendelea kuisikiliza kesi ya mauaji ya mwanamuziki AKA wa afrika ya kusini.
Ni kwanini sponsor wa kazi ile baada ya prosecutor ku fuatilia malipo naye ameunganishwa kwenye kesi.
Kinachohitajika kusiwe na double standards maana kama kesi zingine zozote hata ya mbowe wale watuhumiwa wote waliunganishwa na huyu afande inabidi aunganishwe na umma uelewe kupitia tv na media zingine afande kapatikana.
Kuhusu zombe kuachiwa hapo kuna.mengi na kuna taratibu za ujanja wa mwanasheria ili kushinda kesi hizi bila kuwa mweledi kwenye viwanja vya mahakama huwezi kuvielewa.