Sababu za msingi zinazopelekea 'afande' wa ulawiti asikamatwe ni hizi?

Sijasema ametiwa hatiani, nimesema afikishwe Mahakamani huko ndiyo Mahakama itamnusuru kwa kukosa ushahidi au itamtia hatiani kwa ushahidi usiotia shaka.
 
Koplo Sadi ndiye aliyewapiga Risasi ila kiongozi mtoa amri alikuwa Bageni ambaye kachezea maisha.
 
Ilikuwa ni kusababisha au kuhamasisha mkuu. Wewe unadhani kusababisha na kuua ni sawa? Ndio maana nimesema kusababisha, kumtuma muuaji au kuhamasisha mauaji sio kosa kisheria. Isipokuwa yule anayehusika kuua moja kwa moja ndiye mwenye makosa.
Acha kupiga chenga watu, kwa hiyo wewe ukiwa unagonga mke wa mtu, mwenye mke akakukodia wahuni Kuja kukulawiti, yeye hana kosa au sio!?
 
Zombie hakuwepo eneo la tukio kabisa. Bageni ndiye aliyekuwepo, na kiaskari, askari wa chini anafata amri ya mkubwa na Bageni ndiye aliyekuwa mkubwa kwa hiyo yeye ndiye aliyesimamia tukio.
 
Mimi ningependa huyo afande naye aunganishwe kwenye kesi hii kama kuchomoka akachomokee Mahakamani, sababu yangu kubwa ni kutaka umma umfahamamu kuwa ni yeye aliyefadhili uharamia uliofanyika ili iwe pia ni fundisho kwake.
Afande atakuwa kazeeka kazi ya chumbani haiwezi , ndo maana mumewe akatafuta ka binti ka kupumzikia..

Sasa Afande bila kujiuliza kulikoni mumewe achepuke kwa kabinti ueye akatuma wahuni wakakala-witi kwa foleni.

Sasa sisi tutamtaka huyo afande, ili hii iwe findisho - ajumlishwe.
 
Iko wapi hii niifatilie? Sponsor ni baba wa yule dem alieuwawa??? Au ni mtu mwingine?
 
Anaweza kupatikana na hatia kama kuna ushahidi, mawasiliano ya simu mfano
Hawezi kuwa mjinga kiasi cha kutumia simu yake yenye majina yake kuwapa kazi watoto wake wakafanye uhuni.

Kwenye hili alishajipanga tukumbuke huyu sio mtu wa kawaida anazijua sheria nadhani alishaziba mianya yote inayoweza kuja mtia hatiani.

Kwenye hili Tushamkosa anachoweza saidia kwa wanae ni kuwahakikishia maisha mazuri GEREZANI vijana wake.

Na kweli hawa madogo Gerezani hawaendi kula msoto hata mmoja mpka wanamaliza kifungo... hatuto.

Wanaondolewa tu URAIANINkwa mistake zilizotokea ila huko GEREZAANI na familia zao huku nnje wote hawato pata shida.. wanaukosa tu uhuru ila vingine vyote watavipata.

1.sio wezi

2.ni vijana wa system

Hawawezi kuwa treated kama wahalifu/watuhumiwa wengine.
 
Hayo mazingira bila shaka ni ya kimkakati kuwanasua wateule.
Rejea kesi ya Gekuli... Ghafla DPP akakacha.

Alafu huyo mume wake sasa. Siyo kama unavyojua. In brackets ni muendelezo wa upinde [emoji304][emoji304][emoji304].
Kwamba mume wa afande ni GAY? yuko Rolle ipii?
Natamaniii kujua zaidii, woiiiiih [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nyepesi kwa watuhumiwa kubaka na kulawiti, Tena kwa ushahidi wa video!? Una shida sio bure
 
Ni watu wa system!? Au sio!? Kwa hiyo system ndio imewatuma!?
 
Unaposema "ujanja wa mwanasheria" unamaanisha kuna njia nyingine feki nje ya mahakama zinazotumiwa na mahakimu na mawakili kushinda kesi?
 
Sasa unadhani kwanini Zombe na mke wa Msuya waliachiwa huru mkuu?
Kushinda kesi pia ni namna ya Yale mashitaka yalivyopangwa na waendeaha mashitaka. Waendesha mashitaka wakikosea namna ya kuandaa na kuyawasilisha mashitaka kwa vifungu sahihi vya Sheria unaweza kuwashinda ila sio kwamba eti wewe ni mjanja sana.
 
Mkuu ikiwa watuhumiwa watakana kutumwa na afande kwa kuwa aliwapa hela na kwa kuwa waliinjoi uloda, binti aliyefirwa na hao mabedui lazima atamtaja tu. Hakuna namna anvyoweza kuponyoka kutajwa isipokuwa akifikishwa mahakani ndipo atakapochomokea baada ya kushinda kesi.
 
Kama Sheria zetu ndio hizo. Yaani mtu aliyetuma watu wafanye uhalifu Sheria haimtambui, basi tuna kazi sana na uonevu hautakwisha katika Nchi hii.
 
Kwa hiyo hawezi kushtakiwa kwa kosa la kula njama?

Mbona Mhe. Mbowe alitiwa hatiani kwa kosa la kuonekana kama kapanga njama za kuwadhuru viongozi na huku yeye hakuwepo kabisa field bali wale makomandoo?
Hakutiwa hatiani bali aliunganishwa nao kama mastermind!
 
Wewe jamaa ungekuwa mwanasheria ningemtukana mkuu wa chuo chako hadharani. Hali ingekuwa hivyo utendaji wa makosa ungekuwa simple sana.
Principle katika Sheria ni Moja tuu
"He who do something through another is deemed to do so himself"
Tena unawafahamu accessory before the fact? Hata hao walio elekeza au kuamuru kutendeka Kwa kosa Wana fall within....
Sheria ni rahisi sana tusomeni wakuu
Hao walio shinda walitengeneza mazingira ya kutokupatikana ushahidi unaowaunganisha na watuhumiwa and not otherwise
 
Waliamua kumtoa kafara ili kumlinda Zombe aliyekuwa injinia mkubwa kwenye hili jambo.
Yeye ndiye Mkuu aliyekuwapo Wakati mauaji yanafanyika. Yeye ndiye aliyeagiza chombo iende Mabwepande usiku. Hivyo ni wazi alijua kinachoenda kutendeka. Msenge yule Wacha aozee jela.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…