Sababu za msingi zinazopelekea 'afande' wa ulawiti asikamatwe ni hizi?

Mtoa mada ni kilaza sana hapo hajui kuna makosa ya kula njama na kufadhili uhalifu na haikuwa najukumu yake ya kazi
Kama ni hivyo unavyodhani, kwanini Zombie na mke wa Msuya hawakutiwa hatiani? Kama hujui jambo ni bora kukaa kimya kuliko kuonyesha ukilaza wako hadharani.
 
Hata mbinguni utahukumiwa kwa matendo sio maneno
Na ndio maana serikali yetu tukufu iliona hilo na kutunga sheria zisizohukumu watumaji bali zinazowahumu waliotenda. Sheria zetu ni za kibiblia zaidi
 
Kwenye kamusi ya KISWAHILI ya TUKI...neno AFANDE maana yake ni MFIRAJI
 
Majamaa walikuwa wana tamka afande kuna ushahidi gani kama ni afande wa jeshi
Maana mtaani watu wanaitana makamanda viongozi wakuu etc
Binti aliyelawitiwi atatoa ushahidi. Lakini hata afande akipelekwa mahakamani hafungwi.
 
Kama ni hivyo unavyodhani, kwanini Zombie na mke wa Msuya hawakutiwa hatiani? Kama hujui jambo ni bora kukaa kimya kuliko kuonyesha ukilaza wako hadharani.
RUSHWA ADUI WA HAKI.
Sio kila anayeitwa hakimu au jaji anatenda haki.
hao ndo wanaongoza kwa kula rushwa.sioni ajabu hao uliowataja kuachiwa HURU.maana wana mikono mirefu.
 
Mimi ningependa huyo afande naye aunganishwe kwenye kesi hii kama kuchomoka akachomokee Mahakamani, sababu yangu kubwa ni kutaka umma umfahamamu kuwa ni yeye aliyefadhili uharamia uliofanyika ili iwe pia ni fundisho kwake.
Exactly hv hakuna sheria sheria inayosema ukipanga uhalifu au kula njama ya uhakifu kuna hukumu manake naonaga hataa kiwanja uiwa facilatator unapatwa na hukumu au afrka ni Afrika
 
Hata mbinguni utahukumiwa kwa matendo sio maneno
Mbinguni kila mtu atasimama mbele za haki. Sheria zote za hapa duniani zitatupwa; zitatumika sheria za Mungu. Hapa ndipo kila mtu atakapolia na kusaga meno.
 
Sasa sababu za huyo Afande kutoa adhabu Kwa Binti wa Dovya Yombo ni nini , ni mpaka ujue Hilo ndio utakuwa katika nafasi nzuri ya kuiongelea hilo, kuna weza kuwepo na dhana ya Binti wa Dovya Yombo kuwa ni kisababishi au kichocheo cha kifo cha mume au ana urafiki na rafiki wa Afande
 
Hapa ndipo patakuwa pagumu kuthibitisha mahakamani lakini kwa kuwa binti wa Yombo bado yupo, nadhani akina Madeleka watapangua hizo hoja misa ya kwanza tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…