Sababu za msingi zinazopelekea 'afande' wa ulawiti asikamatwe ni hizi?

Kesi ya Zombe ilikua tofauti kabisa,
 
tpaul unaendelea kuisikiliza kesi ya mauaji ya mwanamuziki AKA wa afrika ya kusini.
Ni kwanini sponsor wa kazi ile baada ya prosecutor ku fuatilia malipo naye ameunganishwa kwenye kesi.
Kinachohitajika kusiwe na double standards maana kama kesi zingine zozote hata ya mbowe wale watuhumiwa wote waliunganishwa na huyu afande inabidi aunganishwe na umma uelewe kupitia tv na media zingine afande kapatikana.
Kuhusu zombe kuachiwa hapo kuna.mengi na kuna taratibu za ujanja wa mwanasheria ili kushinda kesi hizi bila kuwa mweledi kwenye viwanja vya mahakama huwezi kuvielewa.
 
Pia umeandika visoeleweka,

Mbona drug dealers wenye kuwatuma pushers hukamatwa na kufungwa?

Mtumaji na mtumaji wote Wana hatia, labda kwenu mapolisi.
Rejea kesi mbili nilizotaja hapo juu halafu uje hapa tena mkuu. Sheria za nchi ndivyo zinavyosema. Labda kama wewe unasheria zako, ziweke hapa tuzidadavue.
 
Kwanini kwenye usafirishaji/Uuzaji wa Dawa za kulevya,wanapokamatwa "Punda" pia hukamatwa na anayewatuma kusafirisha hizo dawa za kulevya?

Au hiyo sheria hua inatumika tu kwenye ubakaji na kwenye mauaji? Kwanini anayetuma watu kusafirisha Dawa za kulevya nae asiwe anakamatwa wala kufunguliwa Kesi?
 
Hizo ni sheria za kizamani. Anyway kunavshitaka la tatu ambalo niliona kama mahakama imesahau au kwa makusudi imeliacha. Suala la kuposti video kwenye mitandao ya kijamii ni kosa la jinai.
 
Sheria Qmmae!
 
Kwa mifano yote uliyotoa, Je, ile "Conspiracy theory" isingetumika kuwabana wahusika wote? Na kwa jambo linalotokota sasa, ukiacha 'aliyewatuma'; ni vipi mwenye nyumba iliyotumika; mtu aliyerekodi video; mtu aliyeachia video kwa mara ya kwanza, nk...?
 
Kwenye hiyo kesi ya Zombe kuna kitu umenikumbusha. Kuna askari mmoja alikuwa anaitwa Koplo Sadi, huyu inasemekana alishiriki kwenye kuwashoot wale wafanyabiashara wa madini.

Wakati kesi ilipoanza kuunguruma huyu askari alikuwa akionekana maaneo ya Tazara mida ya usiku tu, mchana alikuwa akijificha.

Baada ya mahakama kumwachia Zombe huru na kusema muuaji hayupo mahakamani atafutwe ili afikishwe mahakamani.

Baada ya statement hiyo ya mahakama yule Koplo hakuonekana tena mpaka leo.
 
Mimi ningependa huyo afande naye aunganishwe kwenye kesi hii kama kuchomoka akachomokee Mahakamani, sababu yangu kubwa ni kutaka umma umfahamamu kuwa ni yeye aliyefadhili uharamia uliofanyika ili iwe pia ni fundisho kwake.
Halafu lazima aliwalipa. Jambo ambalo ninaliona lazima ahusishwe na akamatwe kwanza aliamua kutafuta vijana wambake yule binti. Kisha alisimamia zoezi zima na vijana wakamuamuru amuombe radhi akiwa na maumivu makali. Leo nikiambiwa huyu mama hahusiki nitazishangaa sheria za Tanzania. Huo ndiyo ubovu wa kurithi sheria za mkoloni hapo alifanya mtumaji genre la kufanya uhalifu asiwe na hatia kwasababu walijua ni wao wenyewe wazungu watatuma magenge ya mauaji kuwaua Waafrika na wao kama watumaji wasipatikane na hatia. Sisi tumerithi sheria hiyo na mapungu yake. Huyu mama lazima ahusishwe mpaka kieleweke.
 
Rejea kesi mbili nilizotaja hapo juu halafu uje hapa tena mkuu. Sheria za nchi ndivyo zinavyosema. Labda kama wewe unasheria zako, ziweke hapa tuzidadavue.
Nimekupa mfano wa wauza dawa za KULEVYA na wasambazaji aka pushers,

Kwamba wauzaji Huwa hawana case ya kujibu Bali wasambazaji pekee?

Andika ukijua wasomaji Wana akili pia.
 
Zombe alichomoka kwenye ile kesi maana shahidi muhimu ambaye ushahidi wake ungemtia hatiani alifia mahabusu kifo cha kutatanisha.
Watu hawalijui Hilo. Shahidi muhimu katika kesi ile alifia gerezan kifo cha utata. Eti ooh kajinyonga n.k. Huyo shahidi asingefariki, ZOMBE na wenzie wasingelitoboa.

Sent from my TECNO B1f using JamiiForums mobile app
 
Kwenye tukio hili kuna ushahidi wa picha mjongeo yaani VIDEO!! unaposema hatakuwa na kesi ya kujibu ni UONGO, ukweli ni kuwa SHERIA ZA TANZANIA HAZIJAWAHI KUWALINDA WASIONACHO!!

BINTI ALIYEBAKWA ANAITWA MALAYA!! AFANDE NA ALIOWATUMA WANAENJOY URAIANI!!

Tanzania mpaka siku abakwe mtoto wa waziri ndiyo utaona haki ikitendeka
 
Afande hata akichomoka ila huko kazini kwake hatokuwa salama, maofisi haya huwa Kuna kuwindana mtu anakutafutia target akulipue nafasi uliyonayo apewe yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…