Sababu za msingi zinazopelekea 'afande' wa ulawiti asikamatwe ni hizi?

K
Kumuunga sio shida, shida ni kwenda kuthibisha mahakamani utamuunga sawa ila mwisho wa siku atatoka tu bila ushahidi thabiti
 
Zombe alichomoka kwenye ile kesi maana shahidi muhimu ambaye ushahidi wake ungemtia hatiani alifia mahabusu kifo cha kutatanisha.
Mleta mada kaandika upupu. Hizi kesi zinazohusu vigogo mashahidi hupotezwa sana. Mfano kesi za uhujumu uchumi hupoteza watu pia. Utashangaa tu eti DPP hana nia ya kuendelea na kesi. Huyo afande kama ni kuchomoka akachomokee mahakamani.
 
Adhabu yake inakuwajeee.nafahaku ni kosa kisheria ila upande wa adhabu sifahamu na je ni makosa yoteeee.
Ila si mpaka ithibitike alipanga au alikuwa sehemu ya wapangaji?
 
Mleta mada kaandika upupu. Hizi kesi zinazohusu vigogo mashahidi hupotezwa sana. Mfano kesi za uhujumu uchumi hupoteza watu pia. Utashangaa tu eti DPP hana nia ya kuendelea na kesi. Huyo afande kama ni kuchomoka akachomokee mahakamani.
Kama hajatajwa na mlalamikiwa au walalamikiwa au kama wao wamemkana kumfahamu hapo hawezi husishwa tena na hiyo kesi
 
Mtuhumiwa anatiwa hatiani kutokana na ushahidi usiotia shaka kumhusisha na kosa tajwa, na kazi ya kupima ushahidi na kuona unatosha kumtia hatiani mtuhumiwa ni ya Mahakama hivyo sioni kinga ya kumtompeleka afande Mahakamani.
 
Hujui sheria huyu mama ni muhusika na sheria zetu zinahukumu hadi waliotuma kufanya uhalifu, hizo kesi hazikuwaachia kwa sababu ulizotoa, it was legal errors kwenye upande wa mashitaka especially kwenye kuunganisha ushahidi
 
Kwa Bahati mbaya Sana wanasheria nchi hii huchukulia umbumbumbu wa watu wetu kupotosha makusudi ili waonekane Wasomi. Wewe ni mmoja wao na ndo maana shule ya sheria mnafeli Kila siku.
Nataka ujue na usaidie wajue kesi ya mauaji ina ingredients tofauti na kesi ya kubaka Kwa kundi au ulawiti.
Pili, sijui kama umefanya makusudi au hutambui kifungu cha 22 cha Penal code kuhusu Aina za wakosaji au kifungu cha 23 kuhusu common intention? Au hata kifungu cha 24 kinachoongelea kumshawishi Mtu kutenda kosa? Mbona vifungu hivyo viko Wazi isipokuwa kwenye mauaji kuna small details lazima zizingatiwe tofauti na makosa mengine?
Eti kweli Kwa sababu na reference hizo mbili ndo zimesababisha Polisi wasimjumuishe ASP FATUMA kwenye kesi aliyoasisi yeye Kwa kuogopa watashindwa kama walivyoshindwa Kwa kesi ya mke wa Msuya na ya Vijana wa Mahenge?
Be serious brother.
 
Hujui sheria huyu mama ni muhusika na sheria zetu zinahukumu hadi waliotuma kufanya uhalifu, hizo kesi hazikuwaachia kwa sababu ulizotoa, it was legal errors kwenye upande wa mashitaka especially kwenye kuunganisha ushahidi
Mbumbumbu majununi hajui lolote ukute ni Polisi aliwahi kuwa PP wa mchongo.
 
Exactly, kwa zile charges, jamaa wanaweza kuchomoka kabisa.
 
Lakini sheria zetu zinawalinda watu wanaowatuma watu kwenda kutenda uhalifu ila zinamkaanga aliyetenda uhalifu personally. Unadhani nini kifanyike kuweka hili uambo sawa?
 
Hii ni porojo tu. Yaani ulichoandika unamaanisha kufadhili uhalifu si kosa ila ukiwa mtekelezaji.
Kwahiyo Osama bin Laden hakuwa na kosa maana hakuwahi kurusha ndege au kutega bomu kwenye balozi za USA na minara ile.
Acheni kutrngeneza nadharia mfu kwenye maswala ya maana.
 
Tuna sheria za kipuuzi mno, zinazotoa mianya kwa wahalifu. Katika nchi zinazojitambua, mazingira haya yangeweka mapitio ya sheria ili kuhakikisha wahalifu hawakwepi mkono ww sheria.
 
Huyu kama kutoka akatokee Mahakamani. Goma hilo hilo hapo
 

Attachments

  • GVabAm5XwAA2yFy.jpg
    184.5 KB · Views: 2
  • IMG-20240812-WA0029.jpg
    17.5 KB · Views: 3
  • IMG-20240819-WA0054.jpg
    66.9 KB · Views: 3
Upo sahihi kwa marejeo yako ya kesi.
Lakini polisi wafanye sehemu yake (kuwakamata wahusika).
Then mahakama nayo itafanya ya kimahakama!
 
Miye ndio napenda watu wanaopinga hoja kwa facts kama huyu mwamba congole tpaul
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…