leroy
JF-Expert Member
- Dec 8, 2010
- 1,623
- 2,227
Hizi ni baadhi ya Sababu za nyuma ya pazia kuchangia CCM.
1. Kuwa "Untouchable": Unajenga taswira ya kuwa mtu muhimu kwa chama na serikali.
2. Kupata Taarifa za Uchunguzi: Kupitia uhusiano wako na viongozi, unaweza kupata taarifa za mapema kama kuna uchunguzi wowote unaokulenga
3. Unaweza kupendekeza au kujipendekeza wewe mwenyewe au watu wako wa karibu wateuliwe kwenye nafasi nyeti serikalini, kama bodi za mashirika ya umma. Hii inakupa udhibiti zaidi na fursa ya kupata taarifa za ndani.
Soma Pia: Mubashara: Harambee ya kuchangia kampeni za CCM 2025, Mlimani city (CCM gala dinner 2025)
4. Kusafisha Pesa na Kuipa Uhalali
5. Kupata Zabuni za Serikali
6. Kushawishi Sera na Sheria
7. Katika jamii, kuwa karibu na wanasiasa wakubwa na kuwa mchangiaji mkuu wa chama tawala kunakupa hadhi na heshima ya kipekee.