Sababu za ongezeko kubwa la single maza

Mr. Sound

JF-Expert Member
Joined
Sep 15, 2020
Posts
2,227
Reaction score
4,773
Salaam,

Miaka ya karibuni, kuna ongezeko kubwa la single maza mtaani. Single maza, kwa sasa ni janga linalotishia ustawi wa jamii bora.

Zifuatazo, ni sababu za ongezeko kubwa la single maza:

1.MALEZI MABOVU
Wazazi/walezi, kutowajibika vyema ktk malezi, kumewafanya mabinti, kukosa msingi mzuri wa kuzikabili changamoto. Jambo ambalo hupelekea wao kuishia kua single maza.

2.TAMAA YA PESA
Imewafanya mabinti, wawe ktk mahusiano na mtu wa aina yoyote bila kujali upendo, alimradi apate atakacho. Jambo ambalo hupelekea, wao kuishia kua single maza.

3.UTANDAWAZI
Umewafanya mabinti, waige na kujaribu tabia mpya, ambazo hupelekea wao kuishia kua single maza.

Kama jamii, ipi ni njia sahihi ya kulidhibiti/kulipunguza janga la single maza?
 
Kweli kbsaa
Mimi ni man usijikite Sana kwa upande wa ke hata Sisi tuna % ktk hilo kutunza family zetu wengi wetu hayupo tyr tunawapa mimba wanawake tunazikataa inabidi wazitoe au waingie kwny jukumu la kulea mimba hadi mtoto! lkn pia Jamii yetu imekuwa inaendekeza ngono sana kuna sherehe za ajabu zinaitwa shughuri huku kwetu pwani hizo asilimia kubwa watu wanaweza kusex tu kuna nguo zinaitwa vijora unaambiwa ke wanatikisa makalio tu hapo uwezekano wa kubebwa mimba isiyotarajiwa ni asilimia kubwa na ni njia elekezi kuwa single mama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…