Salaam,
Miaka ya karibuni, kuna ongezeko kubwa la single maza mtaani. Single maza, kwa sasa ni janga linalotishia ustawi wa jamii bora.
Zifuatazo, ni sababu za ongezeko kubwa la single maza:
1.MALEZI MABOVU
Wazazi/walezi, kutowajibika vyema ktk malezi, kumewafanya mabinti, kukosa msingi mzuri wa kuzikabili changamoto. Jambo ambalo hupelekea wao kuishia kua single maza.
2.TAMAA YA PESA
Imewafanya mabinti, wawe ktk mahusiano na mtu wa aina yoyote bila kujali upendo, alimradi apate atakacho. Jambo ambalo hupelekea, wao kuishia kua single maza.
3.UTANDAWAZI
Umewafanya mabinti, waige na kujaribu tabia mpya, ambazo hupelekea wao kuishia kua single maza.
Kama jamii, ipi ni njia sahihi ya kulidhibiti/kulipunguza janga la single maza?