Sababu za Senzo kuondoka Simba ilikuwa usajili wa Morrison, Je ni kweli?

Sababu za Senzo kuondoka Simba ilikuwa usajili wa Morrison, Je ni kweli?

Cashman

JF-Expert Member
Joined
Jun 8, 2018
Posts
3,017
Reaction score
5,294
Nimekumbuka kisa cha Senzo kuondoka Simba nikauona unafiki mkubwa sana wa huyu jamaa.
Kama aliondoka kwa sababu tu Morrison mtukutu amesajiliwa, Leo atatuambia nini kuhusu mchezaji huyo?

Kama si sababu hiyo iliyomuondoa Simba, je kwa nini hakusema wazi sababu hasa iliyomtoa?
Kumbe kwa mtu mwenye level yake anaweza kuwa mnafiki kuasi hiki?

Leo wanaugulia maumivu ya kumsajili Aziz na wakati huo wana pressure ya kuondoka Mayele na deni la Aucho.

Na kwa jinsi wanavyofanya mambo, tayari wameanza kutengeneza mpasuko mkubwa sana kwa jinsi wanavyowagawa wachezaji kwenye madaraja. Nina uhakika Morrison kwa jinsi asivyo na uvumilivu, asivyo na akili, ataumia kwa kufanywa mchezaji wa kawaida wakati wengine wanakuwa treated kifalme.
 
Hivi mnawajua wa South Africa kwa unafiki? Kumbuka aliondoka na documents za team pia na hakuaga, alitoroka. Ila wachambuzi wa mchongo wanakuambia jamaa ni genius aliyeipa simba mafanikio likiwepo la kutolewa na UD Songo round ya awali.
 
Mbona mnakuwa watabiri sana nyie mna matatizo gani vichwani mwenu, Senzo aliwagongea wake zenu? Leta izo document zinazoonyesha aucho anadai deni? Uyo mayele unaesema
Nimekumbuka kisa cha Senzo kuondoka Simba nikauona unafiki mkubwa sana wa huyu jamaa.
Kama aliondoka kwa sababu tu Morrison mtukutu amesajiliwa,Leo atatuambia nini kuhusu mchezaji huyo?

Kama si sababu hiyo iliyomuondoa Simba,je kwa nini hakusema wazi sababu hasa iliyomtoa?
Kumbe kwa mtu mwenye level yake anaweza kuwa mnafiki kuasi hiki?

Leo wanaugulia maumivu ya kumsajili Aziz na wakati huo wana pressure ya kuondoka Mayele na deni la Aucho.

Na kwa jinsi wanavyofanya mambo,tayari wameanza kutengeneza mpasuko mkubwa sana kwa jinsi wanavyowagawa wachezaji kwenye madaraja.Nina uhakika Morrison kwa jinsi asivyo na uvumilivu,asivyo na akili,ataumia kwa kufanywa mchezaji wa kawaida wakati wengine wanakuwa treated kifalme.

Mateso bila chuki🤣🤣🤣🤣 umegeuka mtabiri, mganga wa kienyeji, mpiga ramli, Ebu tuletee huo mkataba wa aucho unaoonyesha anadai pesa yake? Na kisha utueleze kinaga ubaga yanga ilivyoumizwa na usajili wa Aziz ki? Mda mwingine ni bora kuvuta bangi hadharani kuliko kuvuta umejificha zitakuumbua vibaya, Sikuwai kusikia senzo katamka kwa kinywa chake kwamba ameondoka simba kwasababu ya morrison, kama kuna mahala alisema leta huo ushahidi hapa, Mnampiga vita senzo lakini yule sio saizi yenu, mtabaki mnaumia na wivu wa kipimbi ni vitu ambavyo aviwezi kuwasaidia chochote, yule ameajiriwa sehemu nyingine kwenu alishatoka kwaiyo unapoendelea kubwabwaja juu yake unaonyesha ni namna gani ulivyo shabiki oya oya asiejitambua
 
Sio kweli.

Zilikuwa ni njama za Binti CEO.

Yeye ndiye aliyefanikisha Wakili Msomi kurudi Yanga SC.
 
Unauliza swali, unaweka jibu na hapo hapo unaweka conclusions zako
 
ubingwa milion 600.
AZIZI FUNGUO usajili milion 460.
Bado nyumba na gari na mshahara[emoji1787][emoji1787][emoji1787].
BIASHARA KICHAA
 
Kwa jinsi yanga inaendeshwa Senzo atakimbia kabla mzunguko wa kwanza wa ligi haujamalizika.
Tayari na sababu ni kusajiliwa kwa mtukutu Morrison. Anasema ameachwa Saido Ntibazonkiza kwa madai ya utovu wa nidhamu halafu anasajiliwa Morrison aliyefukuzwa Simba kwa utovu wa nidhamu. Mkuu uliona mbali.
 
Vipi una la kusema tena?
Maelezo yameshatolewa! Ameamua kuondoka kwa sababu amekuwa mbali na familia yake kwa miaka 3 sasa. Unataka niseme nini tena!

Au umemuona huyo Senzo ameandika sababu ya kuondoka kwake ni uendeshaji mbovu wa klabu? Maana uwezo wa kufanya hivyo anao. Mimi nadhani ifikie wakati tuheshimu maamuzi ya mtu.
 
Back
Top Bottom