Sababu za Senzo kuondoka Simba ilikuwa usajili wa Morrison, Je ni kweli?

Sababu za Senzo kuondoka Simba ilikuwa usajili wa Morrison, Je ni kweli?

Maelezo yameshatolewa! Ameamua kuondoka kwa sababu amekuwa mbali na familia yake kwa miaka 3 sasa. Unataka niseme nini tena!

Au umemuona huyo Senzo ameandika sababu ya kuondoka kwake ni uendeshaji mbovu wa klabu? Maana uwezo wa kufanya hivyo anao. Mimi nadhani ifikie wakati tuheshimu maamuzi ya mtu.
Uendeshaji mbovu wa club, na hataki kukaa karibu na Morisson.

Kwann uzunguke??? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Byuti byuti.
 
mkuu
Mbona mnakuwa watabiri sana nyie mna matatizo gani vichwani mwenu, Senzo aliwagongea wake zenu? Leta izo document zinazoonyesha aucho anadai deni? Uyo mayele unaesema

Mateso bila chuki🤣🤣🤣🤣 umegeuka mtabiri, mganga wa kienyeji, mpiga ramli, Ebu tuletee huo mkataba wa aucho unaoonyesha anadai pesa yake? Na kisha utueleze kinaga ubaga yanga ilivyoumizwa na usajili wa Aziz ki? Mda mwingine ni bora kuvuta bangi hadharani kuliko kuvuta umejificha zitakuumbua vibaya, Sikuwai kusikia senzo katamka kwa kinywa chake kwamba ameondoka simba kwasababu ya morrison, kama kuna mahala alisema leta huo ushahidi hapa, Mnampiga vita senzo lakini yule sio saizi yenu, mtabaki mnaumia na wivu wa kipimbi ni vitu ambavyo aviwezi kuwasaidia chochote, yule ameajiriwa sehemu nyingine kwenu alishatoka kwaiyo unapoendelea kubwabwaja juu yake unaonyesha ni namna gani ulivyo shabiki oya oya asiejitambua
Mkuu waheshimu watabiri🤣🤣🤣🤣🤣
 
Rudi kukumbusha porojo basi[emoji28][emoji28][emoji28]
Mkataba wake na Yanga unaisha leo tarehe 31/07/2022! Na tamko la klabu limesema huyo Senzo ameamua yeye mwenyewe, na kwa hiyari yake kuto ongeza mkataba mwingine! Na sababu aliyoitoa ni ya kwenda kuungana na famlia yake ambayo amekuwa mbali nayo kwa miaka 3 sasa!

Kwa hiyo alazimishwe? Kwa sababu kuna mtu alitabiri kuondoka kwake? Au kuna mahali huyo Senzo ameandika kujiondoa Yanga kwa sababu ya uongozi mbovu?
 
Mtabiri alimaliza kazi yake kitambo, leo msauzi mkataba umeisha wala hajafukuzwa ila kasema haongezi mkataba bali anarudi kwao kuungana na familia ila hajaweka wazi kuwa hapa bongo amekosa nyumba ya kuishi na familia yake 😀

Mtabiri hoyeee 😂😂
 
Mkataba wake na Yanga unaisha leo tarehe 31/07/2022! Na tamko la klabu limesema huyo Senzo ameamua yeye mwenyewe, na kwa hiyari yake kuto ongeza mkataba mwingine! Na sababu aliyoitoa ni ya kwenda kuungana na famlia yake ambayo amekuwa mbali nayo kwa miaka 3 sasa!

Kwa hiyo alazimishwe? Kwa sababu kuna mtu alitabiri kuondoka kwake? Au kuna mahali huyo Senzo ameandika kujiondoa Yanga kwa sababu ya uongozi mbovu?
Ishu ya kuwa mbali na familia ni uwongo
Familia ya Senzo ilikuwa hapa Bongo wakati akiwa Simba. Mechi nyingi alikuwa anaenda Taifa na watoto wake wamevaa jezi za Simba.

Labda alivyohamia Yanga maisha yakawa magumu ndio wakaondoka
 
Mtabiri alimaliza kazi yake kitambo, leo msauzi mkataba umeisha wala hajafukuzwa ila kasema haongezi mkataba bali anarudi kwao kuungana na familia ila hajaweka wazi kuwa hapa bongo amekosa nyumba ya kuishi na familia yake [emoji3]

Mtabiri hoyeee [emoji23][emoji23]
Na si ajabu akaibukia AZAM FC
 
Back
Top Bottom