Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
rudi sasa ila usije na harufu ya kinyesi.Tukirudi wakati huo kuja kuwakumbusha hizi porojo zenu, msije kujisikia aibu.
Kwa jinsi yanga inaendeshwa Senzo atakimbia kabla mzunguko wa kwanza wa ligi haujamalizika.
Tukirudi wakati huo kuja kuwakumbusha hizi porojo zenu, msije kujisikia aibu.
Uendeshaji mbovu wa club, na hataki kukaa karibu na Morisson.Maelezo yameshatolewa! Ameamua kuondoka kwa sababu amekuwa mbali na familia yake kwa miaka 3 sasa. Unataka niseme nini tena!
Au umemuona huyo Senzo ameandika sababu ya kuondoka kwake ni uendeshaji mbovu wa klabu? Maana uwezo wa kufanya hivyo anao. Mimi nadhani ifikie wakati tuheshimu maamuzi ya mtu.
Ameondoka nyumba yake haikuwekwa kwenye jezi
Kimeumanyaaaa in mpili's voicesema kwa sauti"KIMEUMANA!"
Mkuu waheshimu watabiri🤣🤣🤣🤣🤣Mbona mnakuwa watabiri sana nyie mna matatizo gani vichwani mwenu, Senzo aliwagongea wake zenu? Leta izo document zinazoonyesha aucho anadai deni? Uyo mayele unaesema
Mateso bila chuki🤣🤣🤣🤣 umegeuka mtabiri, mganga wa kienyeji, mpiga ramli, Ebu tuletee huo mkataba wa aucho unaoonyesha anadai pesa yake? Na kisha utueleze kinaga ubaga yanga ilivyoumizwa na usajili wa Aziz ki? Mda mwingine ni bora kuvuta bangi hadharani kuliko kuvuta umejificha zitakuumbua vibaya, Sikuwai kusikia senzo katamka kwa kinywa chake kwamba ameondoka simba kwasababu ya morrison, kama kuna mahala alisema leta huo ushahidi hapa, Mnampiga vita senzo lakini yule sio saizi yenu, mtabaki mnaumia na wivu wa kipimbi ni vitu ambavyo aviwezi kuwasaidia chochote, yule ameajiriwa sehemu nyingine kwenu alishatoka kwaiyo unapoendelea kubwabwaja juu yake unaonyesha ni namna gani ulivyo shabiki oya oya asiejitambua
Nakuaminiaga sana habari zako huwa nakuona karibu sana na viongozi wa Simba
Tukirudi wakati huo kuja kuwakumbusha hizi porojo zenu, msije kujisikia aibu.
Mkataba wake na Yanga unaisha leo tarehe 31/07/2022! Na tamko la klabu limesema huyo Senzo ameamua yeye mwenyewe, na kwa hiyari yake kuto ongeza mkataba mwingine! Na sababu aliyoitoa ni ya kwenda kuungana na famlia yake ambayo amekuwa mbali nayo kwa miaka 3 sasa!Rudi kukumbusha porojo basi[emoji28][emoji28][emoji28]
Mtabiri alimaliza kazi yake kitambo, leo msauzi mkataba umeisha wala hajafukuzwa ila kasema haongezi mkataba bali anarudi kwao kuungana na familia ila hajaweka wazi kuwa hapa bongo amekosa nyumba ya kuishi na familia yake 😀Mkataba wake na Yanga unaisha leo tarehe 31/07/2022! Na tamko la klabu limesema huyo Senzo ameamua yeye mwenyewe, na kwa hiyari yake kuto ongeza mkataba mwingine! Na sababu aliyoitoa ni ya kwenda kuungana na famlia yake ambayo amekuwa mbali nayo kwa miaka 3 sasa!
Kwa hiyo alazimishwe? Kwa sababu kuna mtu alitabiri kuondoka kwake? Au kuna mahali huyo Senzo ameandika kujiondoa Yanga kwa sababu ya uongozi mbovu?
Ishu ya kuwa mbali na familia ni uwongoMkataba wake na Yanga unaisha leo tarehe 31/07/2022! Na tamko la klabu limesema huyo Senzo ameamua yeye mwenyewe, na kwa hiyari yake kuto ongeza mkataba mwingine! Na sababu aliyoitoa ni ya kwenda kuungana na famlia yake ambayo amekuwa mbali nayo kwa miaka 3 sasa!
Kwa hiyo alazimishwe? Kwa sababu kuna mtu alitabiri kuondoka kwake? Au kuna mahali huyo Senzo ameandika kujiondoa Yanga kwa sababu ya uongozi mbovu?
Tusha wazoea ikianza ligi utasikia tuna onewa tuhamie ZambiaNa ninawaambia, YANGA HAIWEZI KUWA BINGWA MSIMU HUU.
screenshot hii, itunze tusubiri muda uamue
LABAN og Mzee Wa Kazi Chafu demigod @et al
Na si ajabu akaibukia AZAM FCMtabiri alimaliza kazi yake kitambo, leo msauzi mkataba umeisha wala hajafukuzwa ila kasema haongezi mkataba bali anarudi kwao kuungana na familia ila hajaweka wazi kuwa hapa bongo amekosa nyumba ya kuishi na familia yake [emoji3]
Mtabiri hoyeee [emoji23][emoji23]
KabisaNa si ajabu akaibukia AZAM FC