Nimekumbuka kisa cha Senzo kuondoka Simba nikauona unafiki mkubwa sana wa huyu jamaa.
Kama aliondoka kwa sababu tu Morrison mtukutu amesajiliwa, Leo atatuambia nini kuhusu mchezaji huyo?
Kama si sababu hiyo iliyomuondoa Simba, je kwa nini hakusema wazi sababu hasa iliyomtoa?
Kumbe kwa mtu mwenye level yake anaweza kuwa mnafiki kuasi hiki?
Leo wanaugulia maumivu ya kumsajili Aziz na wakati huo wana pressure ya kuondoka Mayele na deni la Aucho.
Na kwa jinsi wanavyofanya mambo, tayari wameanza kutengeneza mpasuko mkubwa sana kwa jinsi wanavyowagawa wachezaji kwenye madaraja. Nina uhakika Morrison kwa jinsi asivyo na uvumilivu, asivyo na akili, ataumia kwa kufanywa mchezaji wa kawaida wakati wengine wanakuwa treated kifalme.