Sababu za Serikali kushindwa kesi nyingi ni nini?

BEHOLD

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2013
Posts
5,056
Reaction score
10,721
Mimi naona kuna sababu kuu tatu zifuatazo kwa mtiririko wa uzito wake:-

1) Kesi nyingi za Serikali zinatokana na uborongaji wa viongozi. Hivyo mawakili wa serikali wanaenda kutetea kitu ambacho kimsingi kimeborongwa (flauted), ila kwa kuwa wameajiriwa na Serikali basi wafanyeje? Wanajiendea tuu!

2) Mawakili wa serikali hulipwa malipo kidogo na hata incentives hawana, hali hii huwafanya kuwa demorolised, laxed and irresponsible.

3) Rushwa. Fikiri wakili anaenda kusimamia kesi ya mabilioni, kama adverse party yuko vizuri, kwa nini asipokee mlungula ambao huenda ni sawa na kiinua mgongo chake atakapostaafu?.
 
Hiyo namba moja ni mojawapo ya sababu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…