Sababu za Simba kuachana na CEO wao ni zipi

CEO amekataa mambo ya ushirikina na kulazimishwa kutoa ushirikiano kwa vilabu vinavyocheza against Yanga, Pia amekataa kulazimishwa kunywa Mo cola na kutumia bidhaa za Mo
 
Klabu ya Simba imetangaza kuachana na CEO wake raia wa Rwanda bwana Regis Francos kutokana na sababu zilizo nje ya uwezo wao je sababu hizo zaweza kuwa ni zipi? mbona Simba inafanya vizuri katika ligi?
Wanataka mdada.
 
Mpira una majasusi sana na baadhi ya nchi hutumia huo mwanya kupata taarifa wanazotaka
Utakumbuka Arshavin alikuwa jasusi wa kremlin kwa muda mrefu pale London
Sasa huyu jamaa alisemekana kuwa ni jasusi mkubwa kutoka Kigali na team anayokuja kuongoza ndio ya kina kisugu na pasi milioni mashabiki wote ni oyah oyah Sasa jamaa atakuwa anachota taarifa bila shida
Arshavin mechi ya Arsenal vs Liverpool alikua jukwaani pale emirates taarifa za ujasusi alioufanya zingekua ni za kweli wasingemruhusu kuja....ishu zingine ni story zisizokua na ushahidi
 
Dunia ina mengi kwani Morison nani alijua kuwa ni kachero mbobezi? Basi huku kwenye vijiwa vya kahawa tunajua mengi huyo bwana nae hiyo nafasi hakuipata hivi hivi inaonekana kulikua na mtangulizi wake ndie alimpendekeza ajae kwenye mfumo pia
Duuuh huwenda toru anatusoma kimyakimya
 
Arshavin mechi ya Arsenal vs Liverpool alikua jukwaani pale emirates taarifa za ujasusi alioufanya zingekua ni za kweli wasingemruhusu kuja....ishu zingine ni story zisizokua na ushahidi
Sio story ni kweli sema wenzetu hufata sheria sana kiasi hadi wa kuweke kizuizini ni ushahidi wa kutosha au labda walimgeuza double agent
Ila amini jamaa alikuwa jasusi
 
Dunia ina mengi kwani Morison nani alijua kuwa ni kachero mbobezi? Basi huku kwenye vijiwa vya kahawa tunajua mengi huyo bwana nae hiyo nafasi hakuipata hivi hivi inaonekana kulikua na mtangulizi wake ndie alimpendekeza ajae kwenye mfumo pia
Watu wanachukulia mambo ki kawaida sana wakitaka kujua makachero ni wengi michezoni wamuulize Mecky
 
Bila kumung'unya maneno, kuna mtu aliwahi kusema CEO alikosa vibali vya kazi.
🤣🤣🤣 Viongozi wenu wanashindwa kuwa wawazi juu ya ilo suala, kwamba wamenyimwa kibali cha CEO kufanya kazi Tanzania? Waseme tu kwamba uyo bwana alizuiliwa kwasababu za kiusalama zaidi, uyo bwana inasemekana ni afisa kipenyo kule Rwanda kwaiyo ilikuwa ni ngumu sana kuingia Tanzania kirahisi rahisi!
 
Tunapoteza rasilimali nyingi za nchi kila siku kuongelea kinafki habari za jumuiya ya Afrika Mashariki halafu mtu anapewa cheo cha CEO wa timu ya mpira tu watu wanaanza kutafutana.
 
Simba na yanga ni zaid ya timu za mpira mkuu,hizo timu zinatawala mioyo ya watanzania wengi ni hatari sana mtawala ukishindwa kuzicontrol.
 
Hivyo ni visingizio tu. Unaposema watawala kucontrol timu za mpira ina maana kuna upangaji wa matokeo pia. Wewe unaunga mkono hilo jambo?
 
Dunia ina mengi kwani Morison nani alijua kuwa ni kachero mbobezi? Basi huku kwenye vijiwa vya kahawa tunajua mengi huyo bwana nae hiyo nafasi hakuipata hivi hivi inaonekana kulikua na mtangulizi wake ndie alimpendekeza ajae kwenye mfumo pia
Duh! Morrison na ku-act uchizi vile kumbe yuko kazini? Kwamba ule uchizi feki ndio ana-gather data hivyo! Hatari sana!
 
Back
Top Bottom