Sababu za Simba SC kufungwa na Raja

Sababu za Simba SC kufungwa na Raja

bulabo

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2015
Posts
628
Reaction score
780
Sababu kubwa ya Simba kufungwa na RAJA ni kwa sababu uwanja wa MKAPA ulishikwa na UTOPOLO kiasi kwamba ushindi wa uto ulikuwa wa SIMBA. Wazee wa YANGA walifanya umafia uwanja ukalogwa sana.

So wana simba mechi ijayo ya SIMBA nyumbani dhidi ya Vipers tujiandae kisaikolojia tena kwa sababu Yanga tena watacheza nyumbani siku inayofuata. Hii ni balaa kwetu inaonekana Yanga wanaloga zaidi mpaka wanahamisha magoli
 
Uwanja umeshikiliwa na Simba wiki nzima hadi baada ya mechi ya Raja ndipo ukaachiliwa. Unaongea ujinga
 
Mtatafuta visingizio vya kila aina. Ila ukweli mnaujua.
 
Back
Top Bottom