Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Uganda timu pekee ambayo wameshindwa kuifunga ni Stars kwa mechi zote.Lazima tukubali ukweli,
Tanzania imeQualify AFCON2019 sababu ilikuwa kundi la vibonde. Pia, kutokana na Ukweli kwamba Uganda hawakuichukulia hii mechi serious kabisa.
Anyway bahati hutokea Mara mojamoja.
Nimesikitika sana kukosekana kwa miamba ya soka barani Africa kama Zambia na Burkina Faso kwenye mashindano ya Afcon2019.
Hongera Tanzania, Hongera Stars
Uganda timu pekee ambayo wameshindwa kuifunga ni Stars kwa mechi zote.
Hizo nchi ulizozitaja zimebaki majina tu, majina hayachezi mpira mkuu, mpira unachezwa uwanjani. Kenya wamepenya, Burundi nao wamepenya mbele ya Gabon, ya Aubemayang, kama majina yanacheza mpira, Gabon wangewacharaza Burundi.
Soka ktk Afrika Mashariki limekua, ndio maana Serengeti Boys alichukua COSAFA Cup huko Afrika Kusini mbele ya Angola, Zambia, South Africa na Angola.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Wacha kujidanganya mkuu! Hii Tanzania iliyovurunda dhidi ya Lesotho (nyumbani na ugenini) useme ina mpira!! Come on dude!
Na sidhani kama Burkina Faso wamewahi kuwa tishio kiasi cha kuwaita miambaUganda timu pekee ambayo wameshindwa kuifunga ni Stars kwa mechi zote.
Hizo nchi ulizozitaja zimebaki majina tu, majina hayachezi mpira mkuu, mpira unachezwa uwanjani. Kenya wamepenya, Burundi nao wamepenya mbele ya Gabon, ya Aubemayang, kama majina yanacheza mpira, Gabon wangewacharaza Burundi.
Soka ktk Afrika Mashariki limekua, ndio maana Serengeti Boys alichukua COSAFA Cup huko Afrika Kusini mbele ya Angola, Zambia, South Africa na Angola.
Vv
Sent using Jamii Forums mobile app
Hao waganda unaosema hawakuchukulia serious hiyo mechi walishindwa kutufunga pale kwao wakiwa serious na sana sana tungekuwa makini tulipaswa kuondoka na point zote 3 kwa sababu tulipoteza nafasi za wazi. Round ya pili kwetu ilikuwa lazima wafe.Lazima tukubali ukweli,
Tanzania imeQualify AFCON2019 sababu ilikuwa kundi la vibonde. Pia, kutokana na Ukweli kwamba Uganda hawakuichukulia hii mechi serious kabisa.
Anyway bahati hutokea Mara mojamoja.
Nimesikitika sana kukosekana kwa miamba ya soka barani Africa kama Zambia na Burkina Faso kwenye mashindano ya Afcon2019. Ila zaidi imeniuma kukosekana kwa WaBurkinabe, jamaa huwa wananikosha kwa 'msuli' wao dhidi ya WaAfrika Magharibi wenzao, rejea mechi ya AFCON2017 dhidi ya Cameroon utanielewa.
Hongera Tanzania, Hongera Stars
Miaka 10 iliyopita Burkina Faso walikuwa wanyera tu huko Afrika Magharibi,wameibuka karibuni tu lakini sio hivyi ulivyowapamba,lakini pia wafalme huja na kuondoka na kuja wengine,pengine sasa ni wakati wa miamba mingine ikiwa imetokea pande zingine.Lazima tukubali ukweli,
Tanzania imeQualify AFCON2019 sababu ilikuwa kundi la vibonde. Pia, kutokana na Ukweli kwamba Uganda hawakuichukulia hii mechi serious kabisa.
Anyway bahati hutokea Mara mojamoja.
Nimesikitika sana kukosekana kwa miamba ya soka barani Africa kama Zambia na Burkina Faso kwenye mashindano ya Afcon2019. Ila zaidi imeniuma kukosekana kwa WaBurkinabe, jamaa huwa wananikosha kwa 'msuli' wao dhidi ya WaAfrika Magharibi wenzao, rejea mechi ya AFCON2017 dhidi ya Cameroon utanielewa.
Hongera Tanzania, Hongera Stars
lla kwa Taifa Stars iliyofuzu 1980 ilikuwa bomba sana, sema kwenye hiyo CAN ilipangwa kundi gumu sana. Walikuwepo wenyeji Nigeria, Misri na Ivory Coast. Nigeria alitufunga 3-1, Misri akatupiga kwa shida 2-1, na tukatoka sare na Ivory Coast 1-1. Unaweza kuona forward ilivyokuwa vizuri,ilikuwa haitoki kapa kutupia nyavuni.Miaka 10 iliyopita Burkina Faso walikuwa wanyera tu huko Afrika Magharibi,wameibuka karibuni tu lakini sio hivyi ulivyowapamba,lakini pia wafalme huja na kuondoka na kuja wengine,pengine sasa ni wakati wa miamba mingine ikiwa imetokea pande zingine.
Kama walipenya miaka hiyo timu zikiwa 16 wameshindwa wakati huu timu zikiwa 24 basi hali yao imekongoroka si miamba tena
Sent using Jamii Forums mobile app
Bado hoja zako hazina mashiko.Lazima tukubali ukweli,