Mtamba wa Panya
JF-Expert Member
- Aug 6, 2017
- 764
- 1,892
Lazima tukubali ukweli,
Tanzania imeQualify AFCON2019 sababu ilikuwa kundi la vibonde. Pia, kutokana na Ukweli kwamba Uganda hawakuichukulia hii mechi serious kabisa.
Anyway bahati hutokea Mara mojamoja.
Nimesikitika sana kukosekana kwa miamba ya soka barani Africa kama Zambia na Burkina Faso kwenye mashindano ya Afcon2019. Ila zaidi imeniuma kukosekana kwa WaBurkinabe, jamaa huwa wananikosha kwa 'msuli' wao dhidi ya WaAfrika Magharibi wenzao, rejea mechi ya AFCON2017 dhidi ya Cameroon utanielewa.
Hongera Tanzania, Hongera Stars