Tanzania hamna deep state bwana. Kazi ya deep state ni kulinda maslahi ya nchi/taifa. Bongo hamna maslahi ya taifa kuna maslahi ya wahuni wachacheMKUU
Inakuwaje 01010 ipo halafu inaruhusu janga la wizi mkubwa kama hilo!!...
wao wenyewe wezi...MKUU
Inakuwaje 01010 ipo halafu inaruhusu janga la wizi mkubwa kama hilo!!?
Yaani inakuwaje deep state ipo inakaliaw kimya wizi mkubwa kama huo...
Hii ni kweli kabisa Voicer.Wimbi la ukosefu/upungufu wa pesa za kigeni nchini, ni tatizo kubwa kwa sasa. Lakini tunadanganywa na baadhi ya wanasiasa huko madarakani.
Ukweli ni kwamba kuna upungufu mkubwa wa Dola nchini, kwa sababu vigogo wa serikali wanashindana kutorosha pesa kupeleka nchi za nje.
Wanaiba kwa ubadhirifu mabilioni ya shilingi za kitanzania na kisha wanazibadilisha kuwa "$ Dollar" kabla ya kuzitorosha na kuzificha huko ughaibuni.
Na hii ndio sababu halisi ya kinachoendelea nchini, hii lingine ni blah blah tupu.
Wenye kujitambua mtanielewa, wale wabebewa akili endeleeni na mapambano na kaburi.
Mimi usalama wa taifa nchi hii hata siwaelewi wapo kwa kazi gani hasa ? Labda ndio hiyo ya kutafutana na wanao ikosoa serikali tu maana mambo mengi ya wizi ya mali za umma yanafanyika na wao wapo tu na ndio kwanza wanaongezewa kinga , hiki kitengo kinahitaji kipewe job descriptions zingine kwa manufaa ya taifaMKUU,
Inakuwaje 01010 ipo halafu inaruhusu janga la wizi mkubwa kama hilo!!?
Yaani inakuwaje deep state ipo inakaliaw kimya wizi mkubwa kama huo!!!?
Ina MAANA na wao wapo corrupted!!?kama sio corrupted kwanini waridhike na neno stupid tu kama kweli wapo serious na state!!!?
Huwa mnanichanganya sana NYIE jamaa!
NGOJA tuone hatma,kama ni hivyo huo wizi una baraka zenu coz kama mmpo na haya yanatokea halafu mpo kimya Bas mmebariki!
Wimbi la ukosefu/upungufu wa pesa za kigeni nchini, ni tatizo kubwa kwa sasa. Lakini tunadanganywa na baadhi ya wanasiasa huko madarakani.
Ukweli ni kwamba kuna upungufu mkubwa wa Dola nchini, kwa sababu vigogo wa serikali wanashindana kutorosha pesa kupeleka nchi za nje.
Wanaiba kwa ubadhirifu mabilioni ya shilingi za kitanzania na kisha wanazibadilisha kuwa "$ Dollar" kabla ya kuzitorosha na kuzificha huko ughaibuni.
Na hii ndio sababu halisi ya kinachoendelea nchini, hii lingine ni blah blah tupu.
Wenye kujitambua mtanielewa, wale wabebewa akili endeleeni na mapambano na kaburi.
CHADUMU wanasemaje?Wimbi la ukosefu/upungufu wa pesa za kigeni nchini, ni tatizo kubwa kwa sasa. Lakini tunadanganywa na baadhi ya wanasiasa huko madarakani.
Ukweli ni kwamba kuna upungufu mkubwa wa Dola nchini, kwa sababu vigogo wa serikali wanashindana kutorosha pesa kupeleka nchi za nje.
Wanaiba kwa ubadhirifu mabilioni ya shilingi za kitanzania na kisha wanazibadilisha kuwa "$ Dollar" kabla ya kuzitorosha na kuzificha huko ughaibuni.
Na hii ndio sababu halisi ya kinachoendelea nchini, hii lingine ni blah blah tupu.
Wenye kujitambua mtanielewa, wale wabebewa akili endeleeni na mapambano na kaburi.
Upungufu wa dola sio Tanzania pekee, upo karibu nchi nyingi Africa . Kama unafatilia taarifa kenya ndio ilikuwa ya kwanza kulalamika dollar deficiency. Ikapelekea Ruto kupiga mkwara kwa walioficha dola.Wimbi la ukosefu/upungufu wa pesa za kigeni nchini, ni tatizo kubwa kwa sasa. Lakini tunadanganywa na baadhi ya wanasiasa huko madarakani.
Ukweli ni kwamba kuna upungufu mkubwa wa Dola nchini, kwa sababu vigogo wa serikali wanashindana kutorosha pesa kupeleka nchi za nje.
Wanaiba kwa ubadhirifu mabilioni ya shilingi za kitanzania na kisha wanazibadilisha kuwa "$ Dollar" kabla ya kuzitorosha na kuzificha huko ughaibuni.
Na hii ndio sababu halisi ya kinachoendelea nchini, hii lingine ni blah blah tupu.
Wenye kujitambua mtanielewa, wale wabebewa akili endeleeni na mapambano na kaburi.
Hivi Kuna watu bado mpo kwenye huu ulimwengu wa mawazo fikirika na dhahania juu ya uwepo wa hao watu hasa nchini Tanzania,nachelea kusema kwamba pole yenu nyote wenye fikra hiyo hii nchi kwa sasa unawatetea matumbo Yao tu overMKUU,