voicer
JF-Expert Member
- Jul 13, 2020
- 5,545
- 11,935
Wimbi la ukosefu/upungufu wa pesa za kigeni nchini, ni tatizo kubwa kwa sasa. Lakini tunadanganywa na baadhi ya wanasiasa huko madarakani.
Ukweli ni kwamba kuna upungufu mkubwa wa Dola nchini, kwa sababu vigogo wa serikali wanashindana kutorosha pesa kupeleka nchi za nje.
Wanaiba kwa ubadhirifu mabilioni ya shilingi za kitanzania na kisha wanazibadilisha kuwa "$ Dollar" kabla ya kuzitorosha na kuzificha huko ughaibuni.
Na hii ndio sababu halisi ya kinachoendelea nchini, hii lingine ni blah blah tupu.
Wenye kujitambua mtanielewa, wale wabebewa akili endeleeni na mapambano na kaburi.