Sababu za upungufu wa nguvu za kike

Vikoba na mikopo umiza ya kausha damu na chupi mkononi navyo huchangia kupoteza mzuka.

Na kuna wale wamewahi kufika kileleni, wanajua utamu wa juu kabisa, ila kwa sasa kila wakisex hawafiki kwa sababu mbalimbali, hawa nao wanapoteza hamu kwa vile wanaona hawafaidi tena kama zamani.
 
😂😂 Hii pointi ya mwisho kwakifupi ni maradhi ya kuambukizwa, yaani mtu alikuwa anafikishwa kileleni, alafu baade anakutana na mtu mwenye upungufu wa nguvu na yeye anajikuta anapata matatizo ya upungufu kwasababu ya kutoridhishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…