mamma herbs
Member
- Oct 21, 2024
- 25
- 20
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hili ni tatizo kubwa kakini jamii haina taarifa sahihi na hawaelewi si kila kutomfikisha mwanamke kileleni ni tatizo la mwanaume, wanawake wengi wana hili tatizo ambalo halisemwi.
KabisaHili ni tatizo kubwa kakini jamii haina taarifa sahihi na hawaelewi si kila kutomfikisha mwanamke kileleni ni tatizo la mwanaume, wanawake wengi wana hili tatizo ambalo halisemwi.
Punyeto yaweza kuwa sababu?
Punyeto Kwa Mwanamke Ni Mojawapo ya sababu kubwa sana za Mwanamke kukosa nguvu za kikePunyeto yaweza kuwa sababu?
Mwanamke kukosa Hamu ya kushiriki Tendo la Ndoa bila hiyari yake, anaweza kuwa anatamani afanya Tendo lakini anakosa Hamu na msisimko wa kufurahia Tendo hiyo ndiyo kukosa nguvu za kikenguvu za kike zipoje?
Vikoba na mikopo umiza ya kausha damu na chupi mkononi navyo huchangia kupoteza mzuka.
Na kuna wale wamewahi kufika kileleni, wanajua utamu wa juu kabisa, ila kwa sasa kila wakisex hawafiki kwa sababu mbalimbali, hawa nao wanapoteza hamu kwa vile wanaona hawafaidi tena kama zamani.
😂😂 Hii pointi ya mwisho kwakifupi ni maradhi ya kuambukizwa, yaani mtu alikuwa anafikishwa kileleni, alafu baade anakutana na mtu mwenye upungufu wa nguvu na yeye anajikuta anapata matatizo ya upungufu kwasababu ya kutoridhishwaVikoba na mikopo umiza ya kausha damu na chupi mkononi navyo huchangia kupoteza mzuka.
Na kuna wale wamewahi kufika kileleni, wanajua utamu wa juu kabisa, ila kwa sasa kila wakisex hawafiki kwa sababu mbalimbali, hawa nao wanapoteza hamu kwa vile wanaona hawafaidi tena kama zamani.
Mungu wangu🤦Punyeto Kwa Mwanamke Ni Mojawapo ya sababu kubwa sana za Mwanamke kukosa nguvu za kike
😂😂😂Ndiyo hivyoMungu wangu🤦