Sababu za wadada kupiga picha za utamu

[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji42] [emoji42] [emoji42]
 
Tatizo la wadada wa ki TANZANIA ni kutokuendana na kasi ya mfumo wa sayansi na teknolojia .. Walichokariri wao ni IG na FB wanalilia like kama watu waliosahaulika.

Binti anaweza tumia mwili wake kama brand na akatengeneza hela nzuri tu,. leo kuna Online Photo Sell (foap, EyeMe n.k). unabandika picha na akitaka mtu au taasisi inakupatia 50% ya mauzo ya kila picha.

Maajabu ni kwamba hawa wakwetu wamekalia majungu umbeya na vigodoro.

KUMB; Hawanunui picha za ngono au za uchi.
 
Sambamba na hilo na ile tabia ya kupiga picha uku wamebinua makalio... Inahusujs sasa...?... Yaani pozi ndio.... Kitako binuuuu..... [emoji15][emoji15][emoji15][emoji15].... Veepee...?.. Mara nyingine mjibinue kwa mbele... Tu.. [emoji1][emoji1][emoji1]......
 
I hope wanaoga vizuri wanatakata maana Bongo maji tabu, duh! Mbona mnafaidi.
 
Upunguwani tu, kutokujielewa, hawajui thaman yao, wala maana haswa ya neno mwanamke.
Tatizo mademu wanataka kuhudumiwa Wakati vidume wenyewe wamekuwa bahili kama nini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…