Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi ilikuaje ako kamchezo kakaitwa 0713,?mwenye kujua tafadhaliNdo maana wanafanyiwa kale kamchezo ketu ka 0713...Kwa sababu hawajielewi.
Kuna mada humu jf ilishàjadili kwa kina hili swali lako,wewe itafute tu utaipata.Hivi ilikuaje ako kamchezo kakaitwa 0713,?mwenye kujua tafadhali
hii kweli kupatwa kwa bomba, si mchezo kwa kweli
Mkuu ni hatari Sana aiseehii kweli kupatwa kwa bomba, si mchezo kwa kweli
Tatizo mademu wanataka kuhudumiwa Wakati vidume wenyewe wamekuwa bahili kama niniUpunguwani tu, kutokujielewa, hawajui thaman yao, wala maana haswa ya neno mwanamke.
Na nyie mnamsingizia shetani mno bana kaaaaahthat is Lucifer spirit,,,,,,,,, Mungu awafungue