GE2025 Sababu za wananchi wengi kufuatilia uteuzi wa wagombea CCM Licha ya uwepo wa NoReforms NoElection

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

NzundaFuraha

New Member
Joined
Apr 23, 2022
Posts
2
Reaction score
5
1. Kusubiri kuona CCM ikipaduka vipandevipande baada ya fitina na kuengukiwa kwa vigogo
2. Kuonesha wanaoitwa Chawa namna wanafanywa na wajumbe?
3. Kuonesha picha ya namna Bunge lao endapo watalazimisha uchaguzi kufanywa litakavyokuwa?
 
ani anafuatilia? kwa data ipi? kwa ushahidi upi? acha sweeping statements
 
unaweza umia moyo namna watanzania watakavyojitokeza kupiga kura kwa kiarabu kisicho rasmi sisi wabongo wengi wetu ni "al walaa wal balaa"
 
Back
Top Bottom