Sababu za Wanaume kutonufaika na ndoa

Sababu za Wanaume kutonufaika na ndoa

Hata umbebe Magoma na mdundiko km kifungashio tutakutana uzeeni, nitakapoenda kwa watoto wangu kula supu za firigisi wewe umebaki bush kufungulia kuku na kuhesabu jioni zikirudi 😹😹😹
Mtawanyanyasa makapuku wasio na Aa wala Bee.Ukileta za kuleta na watoto wako nachukua time zangu.Naenda kubugia kiinua mgongo mambelembele huko.Na nisisikie mtu anaomba mgao.Kila mmoja ajitegemee.
 
Kuna dingi angu (r.i.p), mambo ya ndoa ni magumu ila mzee alikuja kupata li jimama basi akawa analala huko eti lile lijimwanamke linafua nguo then linaleta pale home, kwenye misiba anaenda na jimama.....basi mkewe anafatafata nyuma kama mlinzi, watoto ni wakubwa kabisa na wana familia zao ila imagine sasa kuona hayo mama yao anatendewa.....

Weee saa ngapi wasimchukue, dingi alitelekezwa hii hali ilichangia sana kifo chake

Unapata fursa unaichezea moja ya mistake waswahili hufanya ndo hiyo kulipa ubaya kwa ubaya

Kumsaidia mzazi ni bonge la fursa haijalishi amekufanyia nini wazazi hubeba vibali vyetu

Familia zisizoelewa haya mambo huishia kuona MAISHA magumu

Usimtupe MTU yeyote
 
Wanaume tusisahau mustakabali wetu uzeeni. Tunatumia muda mwingi sana kuangaikia mke na watoto halafu tunajisahau sisi yenyewe.

As a man remember that no one will love you as a human being, people will love you because of your achievement, success and how the benefits from you.
 
Mtawanyanyasa makapuku wasio na Aa wala Bee.Ukileta za kuleta na watoto wako nachukua time zangu.Naenda kubugia kiinua mgongo mambelembele huko.Na nisisikie mtu anaomba mgao.Kila mmoja ajitegemee.
Sa unamtisha nani kwender mwana kwender 😹😹😹
Na mimi natafuta zee lililostaafu tunaendelea tulipoishia
 
Unapata fursa unaichezea moja ya mistake waswahili hufanya ndo hiyo kulipa ubaya kwa ubaya

Kumsaidia mzazi ni bonge la fursa haijalishi amekufanyia nini wazazi hubeba vibali vyetu

Familia zisizoelewa haya mambo huishia kuona MAISHA magumu

Usimtupe MTU yeyote
Kumsaidia mzazi ni fursa sawa.....ila mzazi kum-abuse mtoto imekaaje hii mtaalamu?!
 
Kuna dingi angu (r.i.p), mambo ya ndoa ni magumu ila mzee alikuja kupata li jimama basi akawa analala huko eti lile lijimwanamke linafua nguo then linaleta pale home, kwenye misiba anaenda na jimama.....basi mkewe anafatafata nyuma kama mlinzi, watoto ni wakubwa kabisa na wana familia zao ila imagine sasa kuona hayo mama yao anatendewa.....

Weee saa ngapi wasimchukue, dingi alitelekezwa hii hali ilichangia sana kifo chake
Ugomvi wa baba na mama sio wa kuuingilia, haujui uyo mzee wako mpaka kufikia hatua iyo alibeba mangapi moyoni. Kama mtoto baki kwenye nafasi yako na ujue hao wote wawili ni wazazi wako
 
Ndio watoto walishindwa kubaki katika nafasi kwa kuona mama yao akinyanyasika tena mbele yao......
 
Kumsaidia mzazi ni fursa sawa.....ila mzazi kum-abuse mtoto imekaaje hii mtaalamu?!

Abuse - anayefanya hivyo anakuwa anakosea Sana .

Ila ukikuwa ukajua kuwa ulikuwa abused na baba /mama usilipize kisasi .

Unabidi kukata chain ya visasi dhidi ya mzazi /wazazi.

Unapomfanyia ubaya MTU aliyekufanyia ubaya unakuwa unakosea Sana hauwezi Kuondoa giza kwa Giza bali mwanga.
 
Sio kila mtu ana huo moyo sasa wa kusamehe......
Kete ni kusamehe au kurevenge, ukisamehewa you are lucky.
 
Then mzazi msamaha wako hauna maana kwake Ila ukitafuta positive katika kila negative utapata maana ya maisha.

Kumsamehe MTU wewe unayesamehe ndo unakuwa benefited na sio huyo uliyemsamehe

Sema watu huwa hawajui ukiwa Una moyo wa kusamehe wewe ndo Una luck na sio huyo unayemsamehe.

Then you need to know human being is a spiritual creature - so anything or whatever you send to someone else it will come back to you.

So stay away with any negativity because nothing last forever.
 
Back
Top Bottom