DR HAYA LAND
JF-Expert Member
- Dec 26, 2017
- 23,928
- 63,499
Hata umbebe Magoma na mdundiko km kifungashio tutakutana uzeeni, nitakapoenda kwa watoto wangu kula supu za firigisi wewe umebaki bush kufungulia kuku na kuhesabu jioni zikirudi 😹😹😹Hamjakutana na vichwa ngumu.Nabeba goma lingine chapchap!Asilielie mtu.
Mtawanyanyasa makapuku wasio na Aa wala Bee.Ukileta za kuleta na watoto wako nachukua time zangu.Naenda kubugia kiinua mgongo mambelembele huko.Na nisisikie mtu anaomba mgao.Kila mmoja ajitegemee.Hata umbebe Magoma na mdundiko km kifungashio tutakutana uzeeni, nitakapoenda kwa watoto wangu kula supu za firigisi wewe umebaki bush kufungulia kuku na kuhesabu jioni zikirudi 😹😹😹
Kuna dingi angu (r.i.p), mambo ya ndoa ni magumu ila mzee alikuja kupata li jimama basi akawa analala huko eti lile lijimwanamke linafua nguo then linaleta pale home, kwenye misiba anaenda na jimama.....basi mkewe anafatafata nyuma kama mlinzi, watoto ni wakubwa kabisa na wana familia zao ila imagine sasa kuona hayo mama yao anatendewa.....
Weee saa ngapi wasimchukue, dingi alitelekezwa hii hali ilichangia sana kifo chake
Sa unamtisha nani kwender mwana kwender 😹😹😹Mtawanyanyasa makapuku wasio na Aa wala Bee.Ukileta za kuleta na watoto wako nachukua time zangu.Naenda kubugia kiinua mgongo mambelembele huko.Na nisisikie mtu anaomba mgao.Kila mmoja ajitegemee.
Kumsaidia mzazi ni fursa sawa.....ila mzazi kum-abuse mtoto imekaaje hii mtaalamu?!Unapata fursa unaichezea moja ya mistake waswahili hufanya ndo hiyo kulipa ubaya kwa ubaya
Kumsaidia mzazi ni bonge la fursa haijalishi amekufanyia nini wazazi hubeba vibali vyetu
Familia zisizoelewa haya mambo huishia kuona MAISHA magumu
Usimtupe MTU yeyote
Poa tu.Kama ni kuombana ugoro wa uzeeni ntawaomba watakaonijali uzeeni.Potelea popote,sifi kwa sonona.Nimekataa.Sa unamtisha nani kwender mwana kwender 😹😹😹
Na mimi natafuta zee lililostaafu tunaendelea tulipoishia
Hela tunazo mapenzi yako wapi!!?hivi huwa mnahisi tunajisikiaje pale tunapojua mpo nasi kisa tunawahudumia pesa na mahitaji!!?yaani barter trade!!?Acheni kutia tia huruma hapa, tafuteni hela.....
Ugomvi wa baba na mama sio wa kuuingilia, haujui uyo mzee wako mpaka kufikia hatua iyo alibeba mangapi moyoni. Kama mtoto baki kwenye nafasi yako na ujue hao wote wawili ni wazazi wakoKuna dingi angu (r.i.p), mambo ya ndoa ni magumu ila mzee alikuja kupata li jimama basi akawa analala huko eti lile lijimwanamke linafua nguo then linaleta pale home, kwenye misiba anaenda na jimama.....basi mkewe anafatafata nyuma kama mlinzi, watoto ni wakubwa kabisa na wana familia zao ila imagine sasa kuona hayo mama yao anatendewa.....
Weee saa ngapi wasimchukue, dingi alitelekezwa hii hali ilichangia sana kifo chake
Sasa mkuu wakati unaoa haukujua unafanya barter trade??Hela tunazo mapenzi yako wapi!!?hivi huwa mnahisi tunajisikiaje pale tunapojua mpo nasi kisa tunawahudumia pesa na mahitaji!!?yaani barter trade!!?
Hakuna kinachonisikitisha kama hicho!
Ndio watoto walishindwa kubaki katika nafasi kwa kuona mama yao akinyanyasika tena mbele yao......Ugomvi wa baba na mama sio wa kuuingilia, haujui uyo mzee wako mpaka kufikia hatua iyo alibeba mangapi moyoni. Kama mtoto baki kwenye nafasi yako na ujue hao wote wawili ni wazazi wako
So sad!mbaya sana!Sasa mkuu wakati unaoa haukujua unafanya barter trade??
Basi leo utasonya tu hapo ndani mkeo hata haumpi.So sad!mbaya sana!
Kumsaidia mzazi ni fursa sawa.....ila mzazi kum-abuse mtoto imekaaje hii mtaalamu?!
Sio kila mtu ana huo moyo sasa wa kusamehe......Abuse - anayefanya hivyo anakuwa anakosea Sana .
Ila ukikuwa ukajua kuwa ulikuwa abused na baba /mama usilipize kisasi .
Unabidi kukata chain ya visasi dhidi ya mzazi /wazazi.
Unapomfanyia ubaya MTU aliyekufanyia ubaya unakuwa unakosea Sana hauwezi Kuondoa giza kwa Giza bali mwanga.
Sio kila mtu ana huo moyo sasa wa kusamehe......
Kete ni kusamehe au kurevenge, ukisamehewa you are lucky.