Sababu zangu za kuwaunga mkono Wapalestina ni za jadi ya Tanzania na Watanzania wote wanaojielewa

Ila wewe na ndugu yako Mohamed Said ni vinara wa kumponda Nyerere. Huu uzi sio genuine kwa sababu unatafuta uungwaji mkono.
 
Mnafiki mkubwa wa kidini wewe, hapo kwa Palestina tu ndio umeona Nyerere anafaa.
 
Kuna watu wabaguzi kama wabantu japo sio wote, wakifuatiwa na rafiki zenu mayahudi laana za Allah ziwe juu yao.

Waarabu/Waislam kwa ujumla wake wana wanyima usingizi haswaa enyi wapagani
Waarabu na wayahudi ni mashetani na ni furaha kuona mashetani yakiuwana kama kumbi kumbi
 
Waarabu na wayahudi ni mashetani....ni furaha iliyoje kuona mashetani yakichinjana kama kuku.......
Shetani ni sifa ya kibinadam na kijinni ambayo kila mmoja anaweza kuwa nayo. Haina mipaka.

Tusijidanganye kuwa ushetani upoo kwa fulani na fulani tu, hata wewe kuwa "negative" kwa wengine na kujiona wewe ni waa mbora (superior) sana ni ushetani.

Mbora kati yetu ni mcha Mungu, kama wewe si mcha Mugu ni shetani tu.
 
Sasa unawaunga mkono kivip ?? Kutype tuu humu JF ,?? We kama unawaunga mkono chukua visa nenga Gaza , chukua Ak 47 then ingia front , uone unavyopasuliwa
 
Mnafiki mkubwa wa kidini wewe, hapo kwa Palestina tu ndio umeona Nyerere anafaa.
Huo ni Uislam. Huwezi kumchukia mtu au kumenda mtu kinafiki. Yale mema yake tiuyasifie na tuyapende, yale maovu kwake tuyasifie na tuyapende,. Hata yeye alijuwa hilo akasema yeye ni binadam na siyo malaika na ana makosa yake.

Tutaendelea kutaja madudu yake, maovu yake na mema yake kama yapo, wadhifa wake walioishi nao kwa miaka zaidi ya 24 unaturuhusu kufanya hivyo.

Mfano mzuri ni pale akikunyang'anya wewe nyumba yako, huyo ni shetani kwako, lakini yule anaepewa ile nyumba badala yako, huyo anakuwa ni malaika kwake. Utajaza mwenyewe.

Wewe vipi, leo unamtosa nyerere aliyewatetea wapalestina mpaka kufa kwake?
 
Sijawahi kumpenda wala kumchukia nyerere.

Nimpende au nimchukie kwa lipi?

Waislam hatuna mapenzi au chuki za kinafik.

Unapenda jema la mtu na unachukia ovu la mtu lakini siyo mtu mwenyewe.
Nimeuliza VIP kuhusu inachowafanyia Morocco watu wa western Sahara? Lin mtalaan waislamu
 
Sasa unawaunga mkono kivip ?? Kutype tuu humu JF ,?? We kama unawaunga mkono chukua visa nenga Gaza , chukua Ak 47 then ingia front , uone unavyopasuliwa

Umri wangu hauniruhusu badala ya kuwasaidia ntawaharibia.

Vijana wa Kiafrika wapo wengi sana huko wanawaunga mkono wapalestina. Huujaona clip wanyoteka gari na kumsonda mwanamke wankiyahudi ndani ya gari? Vutwa nywele na kijana yule mweusi, akasondwa ndani ya gari.
 
je mwaka 1948 baada ya wapalestina ba waisrael kugawawi maeneo ambapo wapalestina walibakia na eneo kuvwa sana huku robo ya eneo wakipewa waisrael je wapalestina walipovamia waisrael na kuwaua ulitaka waisrael wakae kimya tu ? je Idd Amin aliwapowavamia mlikaa kimya tu ? je hufaham kuwa mara zote waarabu ndo wamekuwa chanzo cha migogoro hii ?
 
Wacha wamalizane ili ushetani upungue Duniani
 
Wapalestina wamewashika majenerali wa kiyahudi:
Your browser is not able to display this video.


Hayo huwezi kuyaona kwa media.
 
Hivi mtu aingie shambani kwako halafu kila siku awe anaongeza kipande na kukuwacha wewe kwenye kona huko, utakuwa wewe ndiyo mkorofi ukidai haki yako?

Wewe ni mchaga nini? Maana hapa anzania wachaga ndiyo wenye tabia za kiyahudi za kuvamia maeneo ya watu na kuyang'ang'ania kama yao.

Hapa JF nikiona mtu anawatetea sana wahalifu wa kiyahudi, automatic naelewa kuwa huyo ni mchaga tu.

Nani asiowajuwa wachaga kwa uvamizi wa maeneo ya watu?
 
Nimeuliza VIP kuhusu inachowafanyia Morocco watu wa western Sahara? Lin mtalaan waislamu
Mimi sikifahamu. Nalalolifahamu kwa sasa hivi ni wapalestina wanauliwa na wayahudi toka mwaka 1948 kwa ajili ya ardhi yao.

Wewe ni mchaga?
 
Hiyo safi sana, yaani wayahudi wawe na rukhsa ya kuwaua na kuwashambulia wapalestina lakini wapelestinawasiwe na haki ya kudai ardhi yao na kuwauwa wayahudi?
Hakuna mtu mwenye haki ya kuua mtu mwingine.

Kupinga udhalimu wa Wayahudi huku ukishabikia mauaji ya mateka ni ukengefu.
 
Mimi sikifahamu. Nalalolifahamu kwa sasa hivi ni wapalestina wanauliwa na wayahudi toka mwaka 1948 kwa ajili ya ardhi yao.

Wewe ni mchaga?
Unafiki wa kiislam linapokuja suala la muarabu jinga kabisa. Mi mchagga ndio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…