FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 100,246
- 123,145
- Thread starter
- #161
Siyo sawa kabisa, Nyerere alikuwaa na sifa ya udikteta, mama Samia ana sifa ya kusamehe (Reconciliation).je Nyerere ni sw na huyu wa mikataba isiyo na kikomo tena na taasisi binafs sio serikali ya nchi
Kwa ufupi, tungekuwa na Rais wa kwanza Tanzania kama Mama Samia, Tanzania ingekuwa tajiri kuliko Dubai na Singapore.