Sababu zangu za kuwaunga mkono Wapalestina ni za jadi ya Tanzania na Watanzania wote wanaojielewa

Muonyeshe na kiongoz wa polisario basi au abdalah ocalan wa wakurd alieko ndani huko Turkey
Hapa mada umeiona? Umamuwa tu kuwa zuzu, au umeanza kusherehekea siku yenu?
 

Israel ni wavamizi tu kwenye ardhi ya waarabu
 
Samahani kukuuliza, ni yapi usiyokubaliana na Nyerere?
 
Hapa mada umeiona? Umamuwa tu kuwa zuzu, au umeanza kusherehekea siku yenu?
Umesahau huyo rafiki wa Nyerere yeye na Ghadafi ndio waliomsaidia IDD Amin kwenye vita ya Uganda.
 
KWA HILI TUPO PAMOJA KABISA. UJUMBE WAKO NI MZURI
 

Wewe ulitaka wakipiga wafurahi na wakipigwa wafurahim hawana wazimu huo.

Hata ugonjwa uliyowahi kuikumba Tanganyika pekee katika dunia ulikuwa ni wa kulia na kucheka, unaelewa hilo?

Wayahudi wanapelekewa moto mpaka leo, kila vijana wanapopata upenyo wanasukuma vitu, tazama youtube live ujionee.

Wayahudi huko mpaka wameomba msaada wa mabwana zao wa USA na Ulaya.


Na Wairan na Waturuki wameshatangaza. USA wasaidie wayahudi na wao watawasaidi wapalestina.

Haya muelewe yatahamia mpaka kwetu huku, hatupo salama kabisa.

Hapo sasa.
 
Usiwapangie watu, everyone goes his own way,Mimi nataka Palestina itoweke kwenye uso wa Dunia hata kesho tu, Palestina ni alama kamili ya Shetani.
Nakuhakikishia mtaililia Palestina kwa majuto
 
kwann walipora maeneo ? udini umekujaa huez elewa , ukinshambulia mtu kumpora bas akikuzid nguv na kukupora ww usianze lia lia
 
*🇿🇦🇿🇦🇿🇦 SOUTH AFRICA : A JEW RAISING A FLAG OF ISRAEL TODAY IN SOUTH AFRICA : PEOPLE SHOUTING & SAYING YOU MURDERER, GET OUT FROM HERE, YOU MURDERER ------ YES, THE EYES OF THE WORLD, IS NOW READY TO SEE TRUTH, THEIR EARS ARE MÓRE READY TO HEAR TRUTH - AMEIN

Your browser is not able to display this video.
 
mnawachokoza Israel mkipigwa mnataga dunia iwaonee huruma kisa waislam.
 
Hapa unakubaliana nae sababu aliwatetea ndugu zako katika IMANI.

waambie Magaidi ya HAMAS wasianzishe vita wasioiweza maana mwisho wa siku watakaoumia ni ndugu zao.

Tuache UNAFIQ.
 
Hapa unakubaliana nae sababu aliwatetea ndugu zako katika IMANI.

waambie Magaidi ya HAMAS wasianzishe vita wasioiweza maana mwisho wa siku watakaoumia ni ndugu zao.

Tuache UNAFIQ.
Kumbuka, mimi nimekuwa wakati wa Nyerere, nayafaham mazuri yake na mabaya yake. Wewe unamsikia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…