Mangungo II
JF-Expert Member
- Jul 6, 2012
- 18,133
- 26,766
Hehehehe unachekesha kweli.Mwarabu hajawahi kubaguwa mtu.
Myahudi anawaita waafrika mbwa. Unalielewa hilo?
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]Wala halina shaka wala halitozuwia wapalestina kudai ardhi yao.
Like. 19:41-44Hiyo safi sana, yaani wayahudi wawe na rukhsa ya kuwaua na kuwashambulia wapalestina lakini wapelestina wasiwe na haki ya kudai ardhi yao na kuwauwa wayahudi?
Na wewe mkenya, mungu wako ni myahudi?Like. 19:41-44
41 Alipofika karibu aliuona mji, akaulilia,
42 akisema, Laiti ungalijua, hata wewe katika siku hii, yapasayo amani! Lakini sasa yamefichwa machoni pako.
43 Kwa kuwa siku zitakuja, adui zako watakapokujengea boma, likuzunguke; watakuzingira na kukuhusuru pande zote;
44 watakuangusha chini wewe na watoto wako ndani yako, wasikuachie jiwe juu ya jiwe, kwa sababu hukutambua majira ya kujiliwa kwako.
Faiza ni mdini alieshindikana anachukia dini zingine hasa ukristo na wakristo .mm simtambui kama muislamu pia kwa maana nawaheshimu waislamu na uislamu ni dini ya Mungu na waislamu Safi ni watu wa Mungu .ila swala la kusimama na wapalestina juu ya ulowezi haramu wa ardhi yao dhidi ya wayahudi hawa wasio wa Kibiblia ni swala la kila mwenye akili timamu. God protect the innocent Palestine 🇵🇸Huyu Faiza hoja yake imekaa Kidini sana... Lazima aunge Palestina kwa sababu ni ndugu zake kidini
Nisaidie kuna utofauti sura,picha,appearance mparestina,mwararbu na myahudi.Mwarabu hajawahi kubaguwa mtu.
Myahudi anawaita waafrika mbwa. Unalielewa hilo?
Naishi Tanzania. Kama hao watu wanafanana muonekano au hawafanani.jibu litakusaidia namna ya kuijua njia ya kumaliza vitaNikiusaidie nini sasa, wewe unaishi wapi Tanzania hii?
je Nyerere ni sw na huyu wa mikataba isiyo na kikomo tena na taasisi binafs sio serikali ya nchiKumbuka, mimi nimekuwa wakati wa Nyerere, nayafaham mazuri yake na mabaya yake. Wewe unamsikia tu.
mwambie akaangalie MAID IN HELL ni documentaryHehehehe unachekesha kweli.
Hao mabwana zako.
Eti sio wabaguzi kwenye hizo nchi zao.
Hapa bongo tu tunaishi nao lakini ni wabaguzi kupita maelezo.
Nilikuambia wewe RELIGIOUS FANATIC. JIHADIST.
Hutokaa utulie hadi siku Hii nchi iwe kama AFGHANISTAN na Taliban yao
mlianza wasumbua ila ss mtatafuta kila chaka la kutaka huruma
israel inapiga za kichwa [emoji23][emoji23][emoji23] wajomba wanatafuta huruma ya dunia tuwaamulie [emoji23][emoji23][emoji23][emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]View attachment 2782216View attachment 2782218View attachment 2782219
kwan ww mungu wako ni mpalestina?Na wewe mkenya, mungu wako ni myahudi?
unachokoza ili ufe shaheed ? huyo mung wenu ni hamnazo km ndo anawafundisha hvHayo yasikitishe kabisa, Hamas ni mashaheed, hakuna Muisla asiyetaka kufa shaheed.
Mambo hayo yanawatisha nyinyi ambae mungu wenu ni myahudi.
na wanacheka kbs , wanajuwa wanapoteza muda tuView attachment 2782401
Hawa wote wavaa makobaz na vipedo.