Sababu zilizopelekea niache kuvuta Crack

Sababu zilizopelekea niache kuvuta Crack

Mhh..Kuna mtu anavuta hayo madude toka sdt 4! Anajitenga na watu ..anaongea alone ...maongez take ukimsikiliza anakuwa Kama anajidefend. Anaongea as if Kama anampania mtu amuadabishe ..kwenye suala la akili anadai yy Hana akili Ila bang umemfanya afikie hiyo level ..anafanya PhD nw ..
Ila msibani hajimix...anajitenga Sasa huyu hajafika ukichaa kweli jamani? Kwa siku anavuta hata 6tyms
Ukirejea maelezo yangu nilieleza kuwa ukiizoea sana bange unaiona kama sigara aina ya sport hii ni sigara laini sana ukiizoea unakuwa uhisi chochote unavuta tu kwa kuwa una alosto nayo.

Huyo jamaa ameshakuwa mraibu na huenda kashakumbana na upinzani mkali sana dhidi ya anachokitumia psychologically ameshaathirika hivyo anaji defend msiendelee kumletea miyeyusho.

Cha kufanya kama kweli mnampenda mtafutieni addiction nyingine atakuwa sawa, mtafutieni hata wanawake tu (najua wewe ni mwanamke kwenye hili hamtashindwa)
 
.
FB_IMG_1489672224140-1.jpg
 
Sorry naomba kufahamu...Kama ulikua unasahau...vp Sasa hv unakumbuka kwambanulikua unasahau
Yeah nakumbuka vingi na vingine nasimuliwa nacheka sana.
Nachoshukuru niko na addiction nyingine kabisa tofauti na drugs
 
Mhh..Kuna mtu anavuta hayo madude toka sdt 4! Anajitenga na watu ..anaongea alone ...maongez take ukimsikiliza anakuwa Kama anajidefend. Anaongea as if Kama anampania mtu amuadabishe ..kwenye suala la akili anadai yy Hana akili Ila bang umemfanya afikie hiyo level ..anafanya PhD nw ..
Ila msibani hajimix...anajitenga Sasa huyu hajafika ukichaa kweli jamani? Kwa siku anavuta hata 6tyms
Mkuu huyo cio Don kweli?

Sent from my CAM-L21 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom