Sababu zilizopelekea niache kuvuta Crack

Ukirejea maelezo yangu nilieleza kuwa ukiizoea sana bange unaiona kama sigara aina ya sport hii ni sigara laini sana ukiizoea unakuwa uhisi chochote unavuta tu kwa kuwa una alosto nayo.

Huyo jamaa ameshakuwa mraibu na huenda kashakumbana na upinzani mkali sana dhidi ya anachokitumia psychologically ameshaathirika hivyo anaji defend msiendelee kumletea miyeyusho.

Cha kufanya kama kweli mnampenda mtafutieni addiction nyingine atakuwa sawa, mtafutieni hata wanawake tu (najua wewe ni mwanamke kwenye hili hamtashindwa)
 
Sorry naomba kufahamu...Kama ulikua unasahau...vp Sasa hv unakumbuka kwambanulikua unasahau
Yeah nakumbuka vingi na vingine nasimuliwa nacheka sana.
Nachoshukuru niko na addiction nyingine kabisa tofauti na drugs
 
Mkuu huyo cio Don kweli?

Sent from my CAM-L21 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…