osc michael
Member
- Sep 10, 2017
- 55
- 95
1.Kucheza chini ya kiwango kwa pasi nyingi ambazo zilikuwa hazina tija.
2.Uchovu wa mechi iliyopita.
3 Baada ya kumtoa Baca Kwa kadi nyekundu wameweza kupita.
4.Wamekosa ufundi wa strikes
5.Walikosa ubunifu kutokana na kutocheza vizuri bila individuals skills.
6.Refa leo hakuweza kumudu mchezo vizuri.
7.Kikosi kilichoanza kilikuwa hakina mbinu.
8.Azam waliwasoma Yanga na kuwajua,na walitaka kulipiza makali.
9.Driving force ya Yanga ilikuwa slow na butu.
10.Wakati mwingine Yanga ilipoteza mipira kirahisi.
Nb.Tyson alipiga mabodia mfululizo wengi Sana lakini alikuja kupigwa na bondia mdogo Sana na mwisho akapigwa kwa point na Evanda.Huwezi kushinda kila kitu.Watajipanga zaidi mechi ijayo.