Lupweko
JF-Expert Member
- Mar 26, 2009
- 23,566
- 24,891
kiburikinini..?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
kiburikinini..?
Na badoooooajabu Wana simba ndo mnashangilia sana wakati alietufunga ni azam!
keti mbali...Na badooooo
View attachment 3142625
Yaani nyie ni "bwana" anayeliwa?:"Bwana" anayeliwa huwa anaitwaje vile?Simba ni mke wetu alishachoka na kitom.... mpaka anafurahi Yanga akilizwa!
Haiondoi uke wa Simba!😁😁Yaani nyie ni "bwana" anayeliwa?:"Bwana" anayeliwa huwa anaitwaje vile?
Hujajibu swali "bwana" anayeliwa anaitwa nani vile?.Kwani umedai Simba ni mke.Haiondoi uke wa Simba!😁😁
Inashangaza! Uchovu ni haki miliki ya Uto, wengine hawachoki?Excuse za kipumbavu. Uchovu huo upi ambao mikia hawana ?uongo mwingi wewe kizazi cha hersi na manala.
Ndo nimeshindwa elewa. Ratiba zetu zinafanana na Simba na wengine.kila baada ya siku 2 ni match. Ila sisi tunadai uchovu sijui wachovu. Na tuna kikosi kipana. Je kingekuwa chembamba je?Inashangaza! Uchovu ni haki miliki ya Uto, wengine hawachoki?
Msanii wenu si aliimba yangaa hii unaifungajee.....😂Kawaida tu, kwan kuna mtu alijiwekea Yanga hatapoteza game msimu wote?!
Huyo hajui football
Mchambuzi mbona kimyaa..chambua na mechi ya Tabora1.Kucheza chini ya kiwango kwa pasi nyingi ambazo zilikuwa hazina tija.
2.Uchovu wa mechi iliyopita.
3 Baada ya kumtoa Baca Kwa kadi nyekundu wameweza kupita.
4.Wamekosa ufundi wa strikes
5.Walikosa ubunifu kutokana na kutocheza vizuri bila individuals skills.
6.Refa leo hakuweza kumudu mchezo vizuri.
7.Kikosi kilichoanza kilikuwa hakina mbinu.
8.Azam waliwasoma Yanga na kuwajua,na walitaka kulipiza makali.
9.Driving force ya Yanga ilikuwa slow na butu.
10.Wakati mwingine Yanga ilipoteza mipira kirahisi.
Nb.Tyson alipiga mabodia mfululizo wengi Sana lakini alikuja kupigwa na bondia mdogo Sana na mwisho akapigwa kwa point na Evanda.Huwezi kushinda kila kitu.Watajipanga zaidi mechi ijayo.
Kwani timu Ina wachezaji wangapi?Acha ujinga wewe, timu imetoka kufululiza michezo migumu, imesafiri arusha mara zanzibar nk. alafu inakuja kucheza na timu iliyojiandaa kwa zaidi ya siku nane, alafu inacheza ikiwa pungufu kwenye uwanja wa nyumbani wa Azam, Bado hauoni aibu kuikosoa! Utakuwa mwendawazimu.
#DaimaMbele #NyumaMwiko