Sababu zilizopelekea Yanga SC kupoteza dhidi ya Azam FC

osc michael

Member
Joined
Sep 10, 2017
Posts
55
Reaction score
95
1.Kucheza chini ya kiwango kwa pasi nyingi ambazo zilikuwa hazina tija.

2.Uchovu wa mechi iliyopita.

3 Baada ya kumtoa Baca Kwa kadi nyekundu wameweza kupita.

4.Wamekosa ufundi wa strikes

5.Walikosa ubunifu kutokana na kutocheza vizuri bila individuals skills.

6.Refa leo hakuweza kumudu mchezo vizuri.

7.Kikosi kilichoanza kilikuwa hakina mbinu.

8.Azam waliwasoma Yanga na kuwajua,na walitaka kulipiza makali.

9.Driving force ya Yanga ilikuwa slow na butu.

10.Wakati mwingine Yanga ilipoteza mipira kirahisi.

Nb.Tyson alipiga mabodia mfululizo wengi Sana lakini alikuja kupigwa na bondia mdogo Sana na mwisho akapigwa kwa point na Evanda.Huwezi kushinda kila kitu.Watajipanga zaidi mechi ijayo.
 
Yanga
Your browser is not able to display this video.
 
Hata baada ya kua pungufu Yanga bado walimiliki vizuri mpira. Kuna maeneo Gamond anapaswa kuyafanyia kazi. Kuna wakati Yanga wanapiga pasi nyingi bila sababu hata pale ambapo wangeweza kupiga pasi chache na kuingia eneo la hatari la adui. Pili, kwa mechi nyingi Yanga ana tatizo la umaliziaji pale mbele. Gamond ni kama anapata shida ya kutengeza mtu ambae atakuwa clinical katika kumalizia mipira ya mwisho.
 
Yanga watafute washambuliaji wenye nguvu, (drive and energy), ila kucheza mfululizo pia ni tatizo
 
Excuse za kipumbavu. Uchovu huo upi ambao mikia hawana ?uongo mwingi wewe kizazi cha hersi na manala.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…