Sababu zilizopelekea Yanga SC kupoteza dhidi ya Azam FC

kila timu asaivi ni walozi. yanga walijiamini kwa ufundi wao. na kama bajeti ya ulozi kwa yanga ni finyu basi watafungwa sana na wakifunga kwa tabu sana.
 
Gamond kaishiwa mbinu na ubunifu...hvo hvo kwa wachezaji...ningekuwa kocha Gamond Dube na mzinze ningewaweka kuwa mawinga...Pacome kuwa straika...Chama kiungo mtengenezaji pasi za mwisho max na muda viungo wakabaji na Azizi ki mchezechaji akishirikiana Max...Job+boka+yao kwas na baka mabeki.kwas na Boka ningewafundisha namna ya kupiga mipira ya mwisho pale wanapokuwa wamepanda kushambulia ili mipira yao mingi isipotee bure...Hii ni kwa baadhi ya mechi za ndani na nje...yaan kwenye swala la straika nakuwa nabadilisha bila kutegemea straika waliopo mwisho napata straika mzuri...uchezaji nao sio wa aina moja..mfano kaunta attack,kupitia pembeni na katikati..Yanga kwa sasa inawachezaji wazuri ila kuna kitu wanakosa.
 
Yanga wameliwa.

Yanga wamepakatwa.

Yanga wameinamishwa.

Yanga wamepapaswa.

Yanga wamemwagiwa nusu kindoo.

Yanga wameshikishwa ukuta.
 
Reactions: BRN
Acha ujinga wewe, timu imetoka kufululiza michezo migumu, imesafiri arusha mara zanzibar nk. alafu inakuja kucheza na timu iliyojiandaa kwa zaidi ya siku nane, alafu inacheza ikiwa pungufu kwenye uwanja wa nyumbani wa Azam, Bado hauoni aibu kuikosoa! Utakuwa mwendawazimu.

#DaimaMbele #NyumaMwiko
 
Mchambuzi mbona kimyaa..chambua na mechi ya Tabora
 
Kwani timu Ina wachezaji wangapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…