Mambo haya yamevunja uhusiano wangu, sina budi kusema ahsante mungu:
1. Uongo
2. Usaliti
3. Tamaa
4. Kukosa msimamo
5. Dharau
Nilifanya mambo mengi sana ya kujito katika familia yake lakini still bado aliniacha na kwenda kwa ex-wake kisa, jamaa ana hela. Nilinusurika kufa kwa uchawi kisa bibi yake anamtaka huyo jamaa mwenye hela za utapeli.
Huwezi kuamii nilirogwa na watu wawili tofauti; bibi na ex wa demu kisa tu, demu alikuwa hataki kwenda kwa jamaa. Hata mtoto aliyenaye ni wangu, ila jamaa anaaminishwa kuwa wake.
Mwishoni mwa siku binti alisema "unajifanya supastaa wa kutoa mapenzi tu". Mtoto amebadilishwa mpaka jina.....
Nb: Wanaume tuendelee kutafuta hela za kuwapa wanawake