Sababu zinazochangia mahusiano ya mapenzi kupungua ladha

Sasa tutafanyaje na binadamu hawatabiriki, kikubwa usiwe na matarajio makubwa kutoka kwa binadamu, hata kama mnapendana kiasi gani, jitahidi kukumbuka kuwa kwa binadamu lolote huweza jitokeza.
NI KWELI LAKINI MAPENZI HAYANA KOMANDO NDUGU; KUNA WATU WANASALITIWA UZEENI KAMA SIO UJANANI
 
1. Ukosefu wa uaminifu katika mahusiano.

2. Tamaa ya pesa na mali

3. Ujinga (kutokuwa na maarifa juu ya mahusiano)

4. N.k
 
Kwahiyo sasahivi amesharudi kuomba msamaha?
 
Uongo jamni inaumiza sana na ndo chanzo Cha mambo yote
 
Upo vizuri kwenye research kiongozi,.[emoji106]
 
Hivi kumbe bado mnaendelea kupambana kutafuta hela za kuwapa wanawake?πŸ˜ƒπŸ˜ƒ Mtanishtua mkimaliza...
 
Uongo jamni inaumiza sana na ndo chanzo Cha mambo yote
We hata UTI tu hunaga afu bado unapambania mapenzi!!! We yaache tu dada yatakupelekesha..., haya mahusiano ya siku hizi yanawafaa makonkodi haswaa...
 
Dharau mbaya sana hata katika mauhusiano,duu mie ilinitokea mwaka jana tu nikampiga chini Mwanamke ambae nilikua nimemvalisha pete ya uchumba na kujitambulisha kwao.ebana demu ana mdomo mchafu hana heshima kabisa ukienda nae sehem kukejeli watu wahadumu.nilimuonya mara 3 ya 4 nikampiga chini japo nilimpenda saana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…