Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Maisha ya wasaniiwengi wa kibongo kwa ufupi ni ya chini sana kiuchumi japo wanajifanya wana mawe
1.HAWANA MAMENEJA WAZOEFU: Wasanii wengi hawana mameneja ndio maana maisha yao ni zigzag, kuna lundo la vijana mtaani wamesomea hizo fani hawajaajiriwa, kazi ya meneja ni kutafuta show zaidi, kuhakikisha malipo yanakamilika, kujua thamani ya mwanamziki, kumlinda kwenye soko, n.k mameneja wengine wapo wapo tu ,msanii hafanyi show akiwa nje kisa malipo hayajamalizika tena zaidi ya mara moja duhhhh, wasanii kuweni na mameneja tena wanaoeleweka
2, KUIGA MAISHA YA JUU: wasanii wa bongo wana maisha ya maigizo, msanii hana hata nyumba ila akikodisha hatakwa miez sita anawadanganya maboya kajenga kaw milion 100 tena anasema ana nyingine tatu, wengine daily kuazima pamba wang'ae mjini, wengine nao
ratiba ya siku lazima aende mlimani city hata akanunue daw ya mswaki, hivi inaingia akilini mtu huna hata baiskeli unapewa zawadi ya birthday gari
3.ELIMU NA HEKIMA: kipaji bila mwongozo wa elimu ni bure, wengi wao wameishia elimu za sekondari na wamebaki na zile zile tabia za
kuvaa milege, hata ngeli haipandi hivi ukienda ulaya utaongea nini zaidi ya yes na no, wengi wao wanaishi kuropoka tu wakialikwa na wazee wenye heshima zao wapi na wapi unapiga story za udaku na mtu mwenye digrii au masters yake