Sababu zinazofanya wanatajirisha wengine wao wanabakia masikini

Kama ellon musk alipo drop nafasi ya ukwanza baada ya kupata hasara hatuwezi kusema kafilisika

Aliyefilisika anakua amesanda, kasizi, kakata ringi hana direction hata msosi kwake ni wakusua sua
 
Nii imani mkuu...lakini kupitia hiyo imani watu wanapona na wakipima unakuta mtu kapona. Kuna sehemu nimesema it's biologically Correct.
Kuhusiana na imani hiyo basi tezi mbalimbali mwilini hua activated kupeform task kwa kutumia imani hiyo
 
Kama ellon musk alipo drop nafasi ya ukwanza baada ya kupata hasara hatuwezi kusema kafilisika

Aliyefilisika anakua amesanda, kasizi, kakata ringi hana direction hata msosi kwake ni wakusua sua
Bankrupt kiswahili chake ni nini?? Mnaweza kunipiga mawe kumbe tatizo lipo Kwenye kutokujitosheleza kwa maneno ya kiswahili.

Kama Boot na Power On
 
Kinachofanya waganga waonwe ni waovu ni kutokana na source ya uwezo wao. Wengi wanakua hawapo originated to The Postive Source
 
Bankrupt kiswahili chake ni nini?? Mnaweza kunipiga mawe kumbe tatizo lipo Kwenye kutokujitosheleza kwa maneno ya kiswahili.

Kama Boot na Power On
bankrupt ni kitendo cha mtu au kampuni kushindwa kulipa madeni

kama bank inavyokuja kutaifisha nyumba yako ukishindwa kulipa madeni yako

So ellon musk na mark zackberg walivyopata hasara unawahusisha na bankrupt?
 
Mkuu Da'Vinci kuna vitu viwili umechanganya.

1.Kwamba utajiri na umaskini upo akilini.
2.Kwamba utajiri na umaskini upo katika uwezo wa mtu kukubali masharti mfano umetaja kafara za damu nk.

Huoni hayo mambo mawili yanachengana?
Nadhani hivyo pia yanachanganya, je unaweza kuniweka sawa kidogo kama hutajali??
 
Wow, well written, where did you learn all of this. Unaandika vitu vikubwa sana nimejifunza kitu.
Thanks for sharing.
I might have been cursed with Knowledge??
Mfalme Solomon kwenye kitabu chake Ecclesiastes anasema kwamba
"18 Yaani,Katika wingi wa hekima mna wingi wa huzuni;Naye aongezaye maarifa huongeza masikitiko."
 
Mkuu watu wengi sana they’re not acquainted with the “The Laws Governing the Universe”.
Hence they can’t live in harmony with them and get the most of whatever they do.
 
Hizo laws zinazo govern the universe ndio watu wanazitumia kutengeneza umeme, magari, ndege, meli, roketi,redio, computer na simu unayotumia kuposti JF.

Kuna vitu unaweza kuanza navyo.

1. Unaweza watch these two videos regarding the Law of Attraction.

- “ The Secret “ by Rhonda Byrne

- “ The Meta Secret” by Mel D Gill

2. Pia waeza revie “The 7 Hermetic Laws of Universe”

- The Law of Mentalism
-The Law of Correspondence
  • The Law of Vibration
  • The Law Polarity
  • The of Rhythm
  • The Law of Cause and Effect
  • The Law of Gender.

After watching those two Videos you’ll awaken the Giant with you and see the world in different angle.

All the best
 
I never watched them mate....
 
Hizo laws zinazo govern the universe ndio watu wanazitumia kutengeneza umeme, magari, ndege, meli, roketi,redio, computer na simu unayotumia kuposti JF.
Hapana....Unasema zile za fizikia??
 
Hizo laws zinazo govern the universe ndio watu wanazitumia kutengeneza umeme, magari, ndege, meli, roketi,redio, computer na simu unayotumia kuposti JF.

Absolutely,
Go review some Biography of all Great Discoverers and inventors like Alexander Graham Bell, Thomas Edison, Henry Ford,Steve Jobs , Sir Isack Newton, Albert Einstein.

You may start with the Book by Napoleon Hill

“Think and Grow Rich”
and look to see How the Great men in History have Understood and lived in harmony with the Universal Laws.

My friend this isn’t Philosophy at all,
It’s Scientific fact, unless you don’t even believe in the “ Law of Gravity” it’s a universal law either like The Law of Attraction”.
 
Hapana....Unasema zile za fizikia??

The Law of Attraction and That of Mentalism have been proved in Quantum Physics by the like Sir Isac Newton and Albert Einstein.

What about “The placeable effect in medicine?
The Power of positive mind in healing process induce a healthy Biochemistry.

What about the Power of Imagination?
What about the Power of Subconscious mind?

“What you think, and What you feel, and What manifests, Is always a match.
Every single time no Exception”....Sir Isac Newton.
 
Ina maana kama mtu bado ni milionea hajafilisika kwa tafsiri yoyote ile. Zaidi sana mtu aliyetoa asilimia kama 10 tu ya utajiri wake haitakiwi kuehesabiwa kama amefilisika.
What a nice way to put it. Thank you.
 
I never watched them mate....

I either came to watch them lately after being well familiar with Universal laws and I was like very shocked to see a lot of Scientists, Medical Specialists, philosopher, Authors, Successful people and so many others share the knowledge and testimonies regarding these Laws.

I hope you’ll enjoy and learn a lot watching those two videos.
Especially the 1st in the list “The Secret “
 
I might have been cursed with Knowledge??
Mfalme Solomon kwenye kitabu chake Ecclesiastes anasema kwamba
"18 Yaani,Katika wingi wa hekima mna wingi wa huzuni;Naye aongezaye maarifa huongeza masikitiko."
What does "cursed with knowledge" mean?
 
Thank you very much, Idriss.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…