Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Thank you very much, Idriss.
Hiyo statement nimeitolea Kwenye verses za mfalme suleiman katika kitabu chake cha Muhubiri AnasemaWhat does "cursed with knowledge" mean?
Thank you for the detailed explanation.Hiyo statement nimeitolea Kwenye verses za mfalme suleiman katika kitabu chake cha Muhubiri Anasema
"Katika wingi wa hekima mna wingi wa huzuni;Naye aongezaye maarifa huongeza masikitiko."
Akimaanisha japo wingi wa maarifa ni ishara ya baraka kwa mtu lakini pia inaweza kua ni laana kwake maana unapokua na maarifa ya vitu vingi huzuni,hofu na masikitiko vitakuandama kwakua utakua unafahamu mambo mengi kuhusu dunia ilivyo.
Utajua jinsi watu wanavyoonewa na kudhurumiwa, utajua mateso ya viumbe mbalimbali wanayoyapata. As mtu mwenye maarifa utatamani kubadirisha dunia iwe mahali salama na ya haki kwa kila mtu ila utashindwa. Hence unabaki na huzuni na masikitiko juu watu kutokana na maarifa hayo
I can dare call it curse maana nakua navitu vingiii kichwani situlii mpaka nivitoe kwa kuongea au kuandika.Thank you for the detailed explanation.
Tukirudi kwenye swali lako,
It depends, mimi naamini ni gift ila inaweza kuwa curse kutokana na namna unavyoipokea na aina ya knowledge ambazo upo nazo.
IFAIK ,Being knowledgeable is something that you should be truly proud of, forget about "ignorance is bliss" .
Nina swali moja katika tamko "laana", ni nini maana ya laana ? Kwanini usingetosheka na tamko "huzuni" au "masikitiko" kama ulivyo lisoma katika hicho kitabu cha mahubiri ?I can dare call it curse maana nakua navitu vingiii kichwani situlii mpaka nivitoe kwa kuongea au kuandika.
But I normally take this as blessed Gift from Creator.
Wewe unaonaje na kushaurije??😔
Kabisa yaani wao wanapiga kazi wewe unataka pesa za mteremkoWao wanajua hakuna utajiri wa bure, ni lazima ufanye ubaya. Wao hawataki kufanya ubaya ndio maana ukiambiwa kuchinja kuku unakata kichwa mwenyewe. Wanataka kama ni kutoa uhai wa mtu utoe mwenyewe. Wao hawathubutu ndio chanzo cha kuwa masikini
Laana ni kitu kibaya anachokipata mtu kwa kuzaliwa nacho au lahNina swali moja katika tamko "laana", ni nini maana ya laana ? Kwanini usingetosheka na tamko "huzuni" au "masikitiko" kama ulivyo lisoma katika hicho kitabu cha mahubiri ?
Hakuna laana ya kuzaliwa. Kama ushajua laana ni kitu kibaya, kwanini unajipamba na vazi baya ?Laana ni kitu kibaya anachokipata mtu kwa kuzaliwa nacho au lah