Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nimekuelewa vizuri mkuu [emoji120]Soul itself heal the body..but we Force body to heal itself.
Hii video ya the secret ninayo...ndo video iliyonifungua akili kuhusu our reality.I either came to watch them lately after being well familiar with Universal laws and I was like very shocked to see a lot of Scientists, Medical Specialists, philosopher, Authors, Successful people and so many others share the knowledge and testimonies regarding these Laws.
I hope you’ll enjoy and learn a lot watching those two videos.
Especially the 1st in the list “The Secret “
naona umeamua kutengeneza ubishi usio na tija"Same applied kwa sisi tuifatayo Nuru kama una upako wako/roho mtakatifu rohoni mwako ukianza tu kujikita kutafuta mali basi ule uwezo wako unaanza kuupoteza maana unakua umewekeza nguvu zaidi katika kutafuta mali za mwili na sio mali za roho yako. Kwa kulizingatia hilo ndio maana watawa wa kikatoliki hua hawajishikizi katika materials kama vile pesa,majumba,watoto,mke nk maana wanajua wakiruhusu hiyo itokee basi hakutakua kuna Integrity ya utume wao maana huwezi tumikia mabwana wawili"
1.Wewe uifatayo Nuru upako wako huwa unautuma kwa kazi zipi? Huwa unakusaidiaje?
Huwa unajuaje upako wako umepoteza maana?
2.Watawa wa kikatoliki huwa wanahudumiwa kila kitu na kanisa, ni mmojawapo ya kundi la watu wenye maisha mazuri sana yasiyo na shurba nyingi katika dunia hii.
Pia watoto, mke na mume sio mali, hao ni watu.Hawawezi kuwa daraja moja na mali.
How can I get acquainted with laws of nature? I need such stateMkuu watu wengi sana they’re not acquainted with the “The Laws Governing the Universe”.
Hence they can’t live in harmony with them and get the most of whatever they do.
Uko sahihi Sana Mkuu, hata kwenye vitabu vitakatifu wameelezwa hawa watu. Biblia inatumia neno Waonaji. spiritual seer"Kwa mfano,nakumbumbuka mwaka furani,kijana mmoja mfanyabiashara wa kuku,akiwa anatokea kijiji cha bukamba,alipofika bukiligulu alikutana na mzee halawa kabiga,wakasalimiana,mzee akamuuliza kijana unaenda wapi?, kijana akajibu ninaenda kuzungu kwenye gulio kkusanya kuku,mzee akamwambia mbona naona kama nyumbani kwako kuna mgonjwa?, kijana akajibu hapana nyumbani woote ni wazima kbs,na nimewaacha shambani wanalima,mzee mwana kabiga akamwambia yule kijana kuwa rudi nyumbani kuna mgonjwa,na ukifika angalia mti iliyokaribu na kwako utakuta nyuki juu ya mti,kata majani ya huo mti,pondaponda umnyweshe mgonjwa atapona,kijana akakubali,lkn yule mzee baada ya kuondoka yule kijana akageuza kwenda gulioni,alifika akaanza kununua kuku,akalala kizungu,kesho yake akaamkia kwenda kwenye gulio lingine lyabukande,kwenye mda wa saa tatu hivi akaona kijana anatokea kijiji chao,akasema nimekutafuta sn,twende nyumbani mke wako ni mgonjwa mno,wakaondoka kwenda kufika akakuta watu wamekusanyikana,mkewe kafariki dunia,kkt mzunguka wa kuzika,akaona mti furani juu yake kuna nyuki,na Ile mti upo zizini,,kwa hiyo waganga wapo,wachawi wapo,na watabili pia wapo,na watabili wana mambo ya kiroho zaidi,
Sauli alipoenda kuwaona hao watu lilikua kosa kubwa la kiufundi...ndio lilipelekea akanyanganywa Ufalme.Uko sahihi Sana Mkuu, hata kwenye vitabu vitakatifu wameelezwa hawa watu. Biblia inatumia neno Waonaji. spiritual seer"
Jamii zinawadharau, lakini wanaplay vital role Sana.
Mfalme Sauli alipotingwa alienda kwa mwonaji na alimsaidia Sana kuongea na Nabii Samweli. Binafsi nawaheshimu Sana. Kwenye janga la corona walitusaidia pia.
Kichwani ndipo alipo wewe yaani MindHii video ya the secret ninayo...ndo video iliyonifungua akili kuhusu our reality.
Ndo apo nikaja kujua kwann Mungu asilimia 90 ya milango ya fahamu kaiweka kichwani...
We're only the one who creat our reality...
Contrary!Mkuu Da'Vinci kuna vitu viwili umechanganya.
1.Kwamba utajiri na umaskini upo akilini.
Ndio. Itategemeana na back up ya utajiri huo unatoka wapi2.Kwamba utajiri na umaskini upo katika uwezo wa mtu kukubali masharti mfano umetaja kafara za damu nk.
Asante mkuu nimepata vitu vingi, nimewahi kusoma law of attraction kidogo naona vinaendana na ulivyoandika hasa hapo kwenye uponyaji pia kwenye kutoa Sadaka nimeprove yaani it works like a charm kwasababu ndo sehemu pekee Mungu ameruhusu tumjaribu na Mungu huwa anatimiza ahadi zake.Mkuu anzia hapa kwenye mada hii inaweza ongeza vitu kwenye lile swali lako