Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #101
Mkuu kila kitu tunachofanya au kuwaza kina athari katika ulimwengu wa kiroho na Kimwili. Since thought shape reality inabidi ucontrol mawazo na matendo yako ili yasije kukuletea matokeo hasi katika maisha yako.Asante mkuu nimepata vitu vingi, nimewahi kusoma law of attraction kidogo naona vinaendana na ulivyoandika hasa hapo kwenye uponyaji pia kwenye kutoa Sadaka nimeprove yaani it works like a charm kwasababu ndo sehemu pekee Mungu ameruhusu tumjaribu na Mungu huwa anatimiza ahadi zake.
Questions??