OMOYOGWANE
JF-Expert Member
- Dec 30, 2016
- 4,701
- 11,920
Da vincciFurther Explanation about Reorientation
Kweye kuuconvice mwili kua unaweza kutembea wakati mtu huyo ameparalaizi inakua hivi.
Kama mtu kapalalaizi akiwa anatibiwa daktari nazipangilia upya neva zilizoharibika kwa madawa na upasuaji..hapo Cell zitauponyesa mwili huo uliopalalaizi mwili huo, hapo Cell zinakua zimeprogramiwa/Programmed na Daktar kujirudisha kama ilivyokua mwanzo ili mtu apone..kitendo hicho kinaitwa Cellular regeneration.
Sasa kila kitu kinaanza rohoni as a power house ya mwili...Mara nyingi tunavyotibiwa hospital tunatibiwa kutokea nje (mwilini) sio kutokea ndani ya Roho. So hivyo basi ukitaka kujitibu kupitia rohoni kama hivyo mtu aliyeparalaizi kujiconvice kwamba anaweza kutembea. Anapojikonvisi hivo anaruhusu roho yake kuachilia nguvu zake za kioho (Psychic Power) kuja kwenye mwili wake.
Zinapoingia mwilini mwake in Extraordinary way mtu anajikuta ameweza kutembea. So technically mtu anakua hajatibiwa kwa cellular regeneration bali zile nguvu zake kiroho alizoziachia kuingia kwenye mwili wake.
Magufuli anafanya hiki kitu either kwa kujua au bila kujua..Maana anajua watu wanamchina ila yeye anataka awatoe hofu. It's good but kinachotendeka ndani its beyond kuwatoa hofu. Technically anawafanya watu kuconvice miili yao kwamba hawana mchina Hence mind inakua postive. You know Power of postive thought. Thought shape Reality
Be careful with what you think because Thought shape Reality. You're what you think and you will get what you think. What you seek is what you will get. Be postive no matter how physical world treat you. You're only weak outside/physically. But inside you're so powerful spiritually. Draw out your spiritual strength to face the physical world.
You're inner strength start with postive thought.
Trust your Inner you!!
👉This is biologically Correct
Roho ni nini?
Why unachanganya sayansi na mambo ya kiimani?
Unaelewa nini kuhusu placebo ?