Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 35,812
- 107,628
- Thread starter
- #161
Nimetolea mfano tu mkuu kama watu kwa kutumia nguvu za giza wanaweza kupaa one place to another je kwa kutumia nguvu za Kimungu pia hili halitawezekana pia??Kinachowezesha wachawi kupaa ni majini kuhusu huku kwa Mungu sijafanya tafiti kama kupaa kupo.
Kuna baadhi ya watumishi wa Mungu walikua wanauwezo wa kufaya Bilocation
Bilocation ni uwezo wa mtu kuwa sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja.
Hii usiichanganche na omnipresent, yaani uwezo wa kuwa kila mahali kwa wakati mmoja anao Mungu tu
Baadhi ya watu waliokua na uwezo wa kua sehemu mbili tofauti kwa wakati mmoja ni Mtakatifu Anthony wa padua, Fransis Xaver, Padri Pio nk