Sababu zinazofanya wanaume waishi muda mfupi kuliko wanawake..

Kwamba wanaume wote wanafanya shughuli hizo?

Halafu hizo sio sababu karudie tena utafiti wako.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Tuseme tu ukweli jaman ukiwa mwanaume raha sana
 
Mie huwa nawapenda tuu kuwasoma mawazo yenu, ila mkiwa na maudhi waaaiiiii nawagwaya ila nikiwa na kiwi nakrudi kuwa rafiki yenu hehehehee

Matata K.
 
Mie huwa nawapenda tuu kuwasoma mawazo yenu, ila mkiwa na maudhi waaaiiiii nawagwaya ila nikiwa na kiwi nakrudi kuwa rafiki yenu hehehehee

Matata K.
Sisi ni risk takers for the sake of our families
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…